Serikali ya Marekani ichukue hatua Kali kwa viongozi wa Iran kwa kuharibu kuua wanasiasa na viongozi wa Marekani

Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya wahuni hawa.

IRI imekuwa ikiunga mkono makundi hatarishi ya kigaidi duniani kote kuanzia mashabiki ya kati na Magharibi ya Afrika.

Povu ruksa kwa wavaa kobazi.
Cc incredible terminator
bwanautamu12
BWANA UTAMU

Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujaribu badala ya kuharibu
So wamarekani ndo wana leseni ya kuua wengine na kuchafua amani ya dunia?
 
While it depends on a person who wishes, but there is no need to feel remorse for something that has already happened.
There is big difference between mind and life.Life is nature's gift while mind is a social construct.Mind'pattern is developed during upbringing and upraising of man. Matter can't defy destiny as it has no consciousness and hence is subject to a fixed pattern.But man is the blend of matter and consciousness. Am lost
 
Is there any difference between Mind and counsiosnes?
 
Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya wahuni hawa.

IRI imekuwa ikiunga mkono makundi hatarishi ya kigaidi duniani kote kuanzia mashabiki ya kati na Magharibi ya Afrika.

Povu ruksa kwa wavaa kobazi.
Cc incredible terminator
bwanautamu12
BWANA UTAMU

Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujaribu badala ya kuharibu
Unalieta habari za kusikia humu fanya utafiti uje na ushahidi wa kuthibitisha acha uchochezi ya wamarekani na wairani wachie hayakuhusu
 
Back
Top Bottom