Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
LOYAL CUSTOMER AU SIOSawa wacha washughulikie tatizo, mimi sihami Apple sijaona mbadala wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LOYAL CUSTOMER AU SIOSawa wacha washughulikie tatizo, mimi sihami Apple sijaona mbadala wake
UTAELEWA TU KUHUSU MWENENDO WA HII KESI, KAMA APPLE ATAFUNGIWAHapo nyani ni nani na ngedere ni nani? Naona unafananisha na mahakama za bongo.
Mfano wako ni batiliimebidi nicheke tu
Yaani kesi ya nyani unaipeleka kwa Tumbili na ngedere
SAHIHI MKUUMfano wako ni batili
Serikali ya US sio serikali ya ccm, nakuhakikishia baada ya kesi apple atalegeza mashartiSAHIHI MKUU
ngoja tuoneSerikali ya US sio serikali ya ccm, nakuhakikishia baada ya kesi apple atalegeza masharti
Vipi kesi iliendaje mkuu?Hapo nyani ni nani na ngedere ni nani? Naona unafananisha na mahakama za bongo.
Soma bandiko la kwanza. Ukilielewa utajuwa kama hiyo kesi imeisha ama bado.Vipi kesi iliendaje mkuu?