Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

una uhakika hawajalipwa ?

na wanaanza hiyo kazi lini

Ningalisema ??? unafikiri hao askari wanakaa kumlinda magufuli na genge lake wakati wote ????

Mbona haweshi kuja kutukopa kila kukicha
 
Ningalisema ??? unafikiri hao askari wanakaa kumlinda magufuli na genge lake wakati wote ????

Mbona haweshi kuja kutukopa kila kukicha
kwaiyo ulikuwa unatembea zako ukakutana na askari wakakukopa ?
 
kwaiyo ulikuwa unatembea zako ukakutana na askari wakakukopa ?

Hiyo imeshatokea mara mili njiani nimesimamishwa na askari na wakaniomba chochote , tena kwa lugha nzuri hata nikawaonea huruma. Hao watu wa usalama ndio usiseme niliwahi kuombwa pesa na jamaa wa usalama na akaniomba pesa na kunipa namba zake ili nikiwa na shida wakati wowote nimpigie yeye yuko sehemu siwezi kukuambia hapa. Lakini kuna wanaokuja dukani kwetu mara nyingi kukopa tuuuuuu hasa wakati huu wa Magufuli ndio wamezidi
 
Wapi pamesema mtu akivunja sheria asiwajibishwe. Kama angefata taratibu hakuna ambaye angemsumbua.
Tupunguze ushabiki tuwe real, mbona siku alivyowasiliTZ , pia alivyokua anavunja ratiba za NEC hakusumbuliwa?
 
Back
Top Bottom