Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

Tunamulikwa kwa taa yenye mwanga mkali mno. Tulistulia kwa Makonda kufungiwa kwenda USA tukatia kejeli sasa tena tunakumbushwa.
CCM mtashinda uchaguzi huu bila shaka yoyote, ondoeni mikono yenu kwenye vyombo vya dola ili tuwasaidie kushangilia ushindi na kuwazomea walioshindwa.

CCM ipo mpaka 2100, kama unasubiria CCM kushindwa uchaguzi nadhani bora uhame tu nchi maaaana ndio kwanza tunadeki lami sasa hivi kwaajili ya CCM
 
Uchaguzi huu tu Kuna watu wataenda The Hague believe me.
 
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia

Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!



Kwa ustaarabu na kwa heshima kubwa ya Kitanzania tungependa kuwambia hao Wamarekani kuwa "GO AND PUT YOUR HOUSE INORDER FIRST BEFORE TRYING TO PUT TANZANIA IN ORDER". This is very important when bearing in mind what went on in the just finished presidential debate in US between their contesting candidate. The debate was, to say the least and very humbly, A SHAME! This is happening now before the 3rd November 2020 election!
 
Uchaguzi huu tu Kuna watu wataenda The Hague believe me.
Ni kweli Amsterdam na Lissu labda na CHADEMA ndio watakwenda the Hague kwa sababu watashindwa vibaya na hawataamini kwani walikuja na matokeo yao ya kushinda kwa kuaminishwa na mabeberu wao! Sijui watamshitaki nani? Kwani kila kiongozi ni mshari wao - mara IGP, mara CDF, mara OCD's mara RAIS, mara Mwenyekiti wa NEC, mara MAHELA! Ngoja tusubiri tuone, tusiumize vichwa bure.
 
Marekani 'ihangaike' Kwanza na 'Upuuzi' wa Rais wao Trump hadi 'anadhihakiwa' na akina Michelle Obama katika DNC kisha ndiyo aje huku Kwetu.
Walimuweza Ghadaf WA Iraq sembuse Saddam wa Libya!. Ni suala LA muda tu.
 
USA linaendelea kuwa taifa kubwa na la hovyo sana dunia, kila siku kutoa matamko ya siyo kuwa na kichwa wala miguu.

Walionya na kutoa tamko la kuhusu corona kiko wapi? Watuache nani huwa anaingila mambo yao wao ya ndani? Ukitaka kujua USA wakati mwengine ni wajinga angalia aina ya rais waliye naye wakati huu.
Naona wengine mnapiga tu yowe humu ndani lakini hata hamwelewi implications ya hayo maandishi.
 
😁😁😁 Ety mbona wao wameshindwa kuwaonya wanaowauwa waamerika weusi au wanaweza kuionya Tanzania? Nao watanzania wanasema 2 ndiyo wajinga ndio waliwao wapambane na wao huko
 
Saddam style dictatorship that never lasted. He, at last, perished with it. Long live the rule of law, long live justice.
Saddam Hussein's style of leadership like that of Comrades Patrice Lumumba and Gaddafi, to name a few, never lasted because of acts of sabotage by imperialists and its perpetrators, supporters and greedy thieves led by western countries like Belgium, France, UK and USA among many. These robbers of our riches will never stay put or keep quiet when Africans come up with ideas that aim at preventing the rooting of our riches. This is what people like Lumumba, Gaddafi and NOW RAIS MAGUFULI OF TANZANIA. Leaders of this calibre will never live long! All efforts will be done to "finish" them so as to allow these thieves of our riches to continue plundering our nations riches like diamonds, oil, natural gas and tanzanite to name a few!

This is what is going on in Tanzania now during this period of our 2020 General Elections, all efforts in a form of "new and old" tricks are put in place by different imperialistic countries, either directly as seen, in the past few days, where the US government through its Embassy in Dar-es-Salaam and Congress (Bunge la US) or indirectly through Lissu and his Advocate, Amstredam, trying to intimidate and threaten us and our government during this Election time. Let me tell Lissu and Amstredam and indirectly, the US government and its Congress that we are a free sovereign country entitled to doing our things our ways in conjuction withour laws and regulations as stipulated in different statutes. Trying to threaten us with the ICC issue is very childish, to say the least. ICC is like any other court and we have seen African leaders confronting it and as such nobody fears the ICC. But for everyone's information, it is Lissu and his bebeeru friends who will go the Hague and not peace preachind and defending people like RAIS MAGUFULI.
 
Marekani kwa Sasa wanakurupuka kwenye kutoa matamko yao. Ndio maana wenye akili tunawaona wapuuzi tuu kama wapuuzi wengine. Rejea tamko juu ya kilichoitwa Kushambuliwa na kuvunjwa vunjwa miguu kwa Mbowe.

Kama intelligence yao ilishindwa kujua kuwa Mbowe hakushambuliwa bali aliteleza tuu na kupata mshituko wa Kifundo Cha Mguu, wanatudhihirishiaje kuwa ofisi za Chadema- Arusha zimechomwa na watu wa Serikali na si Wana Chadema wenyewe Kama sehemu ya kutafuta public Attention?
Kutokana na kukurupuka kwao ndio maana wanasema ya wengine na kuacha ya kwao ya namna wanavyopanga kuiibiana kura hapo 03/11/2020 na kutukana ovyo kwenye midahalo.Pia kwa nman wanavyo wapenda CHADEMA, wangekuwa wameshaonyesha mtu aliyempiga Lissu hizo risasi 16 na ndege kama angekuwa siyo wa CHADEMA na ndiyo maana wamesaidia kumficha shahidi namba moja kwenye hili sakata wanalo livalia njuga la Lissu kupigwa hizo risasi 16 za ndege; mleteni dereva wa Lissu awaumbue. US waache mbinu za kijinga na za zamani za kutaka kutuvuruga kwa nia na lengo la kuiba mali asili na utajiri wetu. Wamarekani wamekasirika sana baada ya Serikali hii, yenye kujali na kutetea utajiri wetu ili utunufaishe sisi, kukata mirija ya unyonyaji wa makampunii yao yaliyokuwa yakiiba utajiri wetu ikiwa na kuinyonya TANESCO (Symbion!?) pamoja na makampuni yao mengine yenye hisa huko kwenye madini. IMEKULA KWAO, HAIBIWI WALA HATISHWI MTU HAPA TANZANIA.
 
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia

Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!





World prefect at work
 
USA linaendelea kuwa taifa kubwa na la hovyo sana dunia, kila siku kutoa matamko ya siyo kuwa na kichwa wala miguu.

Walionya na kutoa tamko la kuhusu corona kiko wapi? Watuache nani huwa anaingila mambo yao wao ya ndani? Ukitaka kujua USA wakati mwengine ni wajinga angalia aina ya rais waliye naye wakati huu.
HUYU alietoa OnYo sio Serikali Mbunge Muhuni Mmoja Tu kama Halima Mdee Wa Kaweee Hatutishikiii Mbwa hao
 
You've laboured to defend the authoritarian regime that has, for the past five years, been suppressing and oppressing its people to the extent of wounding the opposition presidential candidate without the authorities taking measures to investigate the incident.

Please be informed that the dictators you've mentioned met their fate as result of the atrocities they committed to their innocent people and not because of collusion by any foreign power.

Magufuli is demagogue taking the advantage of his impoverished people to gain cheap political milage.

The resources of this country are being plundered by the same regime that corruptly misuse them on the white elephant projects like the infamous Chato International Airport, construction of the Stieglar Gorge Dam, the expensive purchase of the Aircrafts for the ill fated Atcl, only to mention but few.

Whatever the propaganda that you may spread, the truth will remain that testifies to the failure of this regime to deliver to the now disenchanted people of this once great nation.
 
Uchaguzi huu tu Kuna watu wataenda The Hague believe me.
I believe you! Kweli kuna watu watakwenda the Hague. Wanataka kwenda the Hague kama njia ya kujipandisha vyeo kutoka Mahakama za Kisutu hadi hiyo ya ICC! Hawa wamezoea mahakama hivyo wasubiri tu waende huko wakisha shindwa. Yaani CHADEMA na akina Lissu wakiongozwa na Amsterdam ndio watatangulia ICC. Wasidhani wao hiyo mahakama haiwahusu, hasa kwa maneno ya MROPOKO wanayosema.
 
Back
Top Bottom