minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Congo napo walimwamuru Kabla kupisha uwanjaHugo Chavez alikuwa anawaletea dharau nadhani unajua kilichomkuta,endeleeni kuleta nyodo zenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Congo napo walimwamuru Kabla kupisha uwanjaHugo Chavez alikuwa anawaletea dharau nadhani unajua kilichomkuta,endeleeni kuleta nyodo zenu
CCM acheni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani ndipo Dunia itaacha kuwamulikaKwani USA huwa wanapenda haki itendeke au huwa wanataka watu wenye maslahi nao wapate madaraka na wao wachume kwa uhuru?
CCM mkienda kuomba misaada huwaita wahisani wafadhili lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga wenu wote mnageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi ni mbuzi jikehuu ujinga wa kushadadia kauli za mabeberu ni dalili ya kufeli kifikra, hivi sisi waafrika hatuwezi tatua changamoto zetu mpaka tusemewe na hawa mabwana? mleta uzi jitafakari.
Nchi huru kujiamulia mambo yake ndiyo kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?Kwani Tanzania ni koloni la marekani ?hii ni nchi huru inajiamulia mambo yake yenyewe mbona uchaguzi wa marekani ulihackiwa wakamgua Trump bila kitegemea je Tanzania iliingilia
Wewe umejipangia kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?Wasitupangie kama ambavyo wao hatuwambangii cha kufanya.
Mtajitawala vizuri wenyewe pindi mkiacha Tabia mbovu ya kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzaniHivi ni lini AFRIKA tutajitawala wenyewe na kubaki na maamuzi yetu sisi, USA wana moral authority gani kutupangia masuala ya ndani huwa nasikitika sana kuona mTZ anashangilia haya matamshi ya USA afu wakati huo huo anadai SERIKALI haifuati DEMOKRASIA NA UTAWALA BORA, matatizo yetu sisi waafrika tutatatua sisi wenyewe
Watanzania wa wapi unawasemea? Watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba unaposhinda ukivuta Bangi na kujiona una Akili wakati wewe ndiyo kichaa zuzu mbumbumbu juha la kutupwa, chizi ni wewe binafsi usiyejua kuwa watanzania wameamka wanajua CCM haina Upendo na wananchiwe nani mpaka udhani una uwezo wa kuifikisha nchi Libya? Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, hebu weka sawa mindset yako na usije ukadhani eti kaibiwa kura, hell no! watanzania hawana utaratibu wa kuchagua Rais kichaa na mlemavu mwenye hasira ambazo hajui wa kumshushia, ndio eti umfanye awe amirijeshi wa nchi!! si kuna siku akiamka na mahasira utakuta mizinga inaripuliwa kwa kila anayemuhisi alimuumiza!! weka vizuri kichwa dogo, hatuwezi kuchagua chizi
Video ya IGP tayari ipo The Hague wanaisikiliza vizuriMlango wa the Hague upo wazi asiyefunzwa na mama atafunzwa na dunia
Wewe unayejitambua umefanya nini cha maana? Kama wapinzani hawajitambui kwa nini hamuachi wananchi waamue wenyewe? Upuuzi unao wewe kwani huna unachokijua zaidi ya kukariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM mpaka umejitoa fahamu zote na kuona unyanyasaji uonevu wanaofanyiwa wapinzani ni sawaSi uliona wakijikusanya ubalozi wa EU eti wanashitaki juu ya uchaguzi? Ni aibu kuwa na watu wa aina hii ktk siasa.
Kila anayejitambua akiingia ktk vyama hivi anatoka. Leo hii hatuwasikii akina Baregu, Safari, wote wamewaachia upuuzi wao. Ni vigumu kumshauri mtu aliyekulia maisha ya 'misheni tauni'. Hata ndani ya familia hatuwezi!
Wakuache uwe unawabambikia kesi unawapiga risasi unawapora ushindi wakurugenziccm kufocha form kama kule ubungo?
Wewe ndiyo ulitumwa kwenda kumpiga risasi? Mtu ana uchungu wa mabaya mliomtendea mnadai anamdharau Rais? Lisu hamdharau Rais bali husema mapungufu yake kwa uwazi ndipo nyinyi wanafaika wa mfumo kandamizi mnaenda kumchochea awahujumu chadema muendelee kutafuna pesa za kutokomeza upinzani Tanzania
Waanze kuwakamata waonevu wanawabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani kwanza ndipo waende huko
hata wafuasi wa dikteta Gaddafi nao walikuwa wakijimwambafai hivi hivi!Hahaha msiwategemee wamarekani, Zanzibar waliporwa 2015 waliwasaidia nini?! Chadema waliporwa 2015 wamarekani waliwasaidia nini?!
Tafuteni njia za kujisimamia, achaneni na utegemezi wa wamarekani.
Uchaguz tumegaramia wenyewe uchaguzi wetu ni wa haki kwa mujibu wa Katiba yetu na hakuna nchi inayo ruhusiwa kuingilia mambo ya nchi za watu kama tu nchi haijavunja sheria za nchi na wakijaribu kwa uasi nchi iko imara Sasa Hao mabeberu Watapitia wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie ngojen dawa iwaingieMATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia
Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!
hata wafuasi wa dikteta Gaddafi nao walikuwa wakijimwambafai hivi hivi!Uchaguz tumegaramia wenyewe uchaguzi wetu ni wa haki kwa mujibu wa Katiba yetu na hakuna nchi inayo ruhusiwa kuingilia mambo ya nchi za watu kama tu nchi haijavunja sheria za nchi na wakijaribu kwa uasi nchi iko imara Sasa Hao mabeberu Watapitia wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie ngojen dawa iwaingie
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
hata wafuasi wa dikteta Gaddafi nao walikuwa wakijimwambafai hivi hivi!
ili nchi hii watu wasifikie kuifanya iwe kama Libya au Iraq, wenye dhamana sasa watende haki.... as simple as freaking that!The point here is what happened after Khadaffi, things changed from bad to the worst ever. Ni bahati mbaya sana wapumbafu kama huyu kibaraka wanatufanya tutolee mifano ya Iraq isiyo faa kulinganishwa hata kidogo na Tanzania taifa lenye ushuhuda wa kuona mkono wa Mungu ulio hodari ukilipigania.