Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

Kwani USA huwa wanapenda haki itendeke au huwa wanataka watu wenye maslahi nao wapate madaraka na wao wachume kwa uhuru?
CCM acheni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani ndipo Dunia itaacha kuwamulika
 
huu ujinga wa kushadadia kauli za mabeberu ni dalili ya kufeli kifikra, hivi sisi waafrika hatuwezi tatua changamoto zetu mpaka tusemewe na hawa mabwana? mleta uzi jitafakari.
CCM mkienda kuomba misaada huwaita wahisani wafadhili lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga wenu wote mnageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi ni mbuzi jike
 
Kwani Tanzania ni koloni la marekani ?hii ni nchi huru inajiamulia mambo yake yenyewe mbona uchaguzi wa marekani ulihackiwa wakamgua Trump bila kitegemea je Tanzania iliingilia
Nchi huru kujiamulia mambo yake ndiyo kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?
 
Hivi ni lini AFRIKA tutajitawala wenyewe na kubaki na maamuzi yetu sisi, USA wana moral authority gani kutupangia masuala ya ndani huwa nasikitika sana kuona mTZ anashangilia haya matamshi ya USA afu wakati huo huo anadai SERIKALI haifuati DEMOKRASIA NA UTAWALA BORA, matatizo yetu sisi waafrika tutatatua sisi wenyewe
Mtajitawala vizuri wenyewe pindi mkiacha Tabia mbovu ya kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani
 
we nani mpaka udhani una uwezo wa kuifikisha nchi Libya? Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, hebu weka sawa mindset yako na usije ukadhani eti kaibiwa kura, hell no! watanzania hawana utaratibu wa kuchagua Rais kichaa na mlemavu mwenye hasira ambazo hajui wa kumshushia, ndio eti umfanye awe amirijeshi wa nchi!! si kuna siku akiamka na mahasira utakuta mizinga inaripuliwa kwa kila anayemuhisi alimuumiza!! weka vizuri kichwa dogo, hatuwezi kuchagua chizi
Watanzania wa wapi unawasemea? Watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba unaposhinda ukivuta Bangi na kujiona una Akili wakati wewe ndiyo kichaa zuzu mbumbumbu juha la kutupwa, chizi ni wewe binafsi usiyejua kuwa watanzania wameamka wanajua CCM haina Upendo na wananchi
 
Wewe unayejitambua mbona hutumii mbinu za kujitambua kuendesha siasa? Kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani ndiyo kujitambua huko CCM, hizo mbinu za kishetani ndiyo kujitambua?
 
Si uliona wakijikusanya ubalozi wa EU eti wanashitaki juu ya uchaguzi? Ni aibu kuwa na watu wa aina hii ktk siasa.

Kila anayejitambua akiingia ktk vyama hivi anatoka. Leo hii hatuwasikii akina Baregu, Safari, wote wamewaachia upuuzi wao. Ni vigumu kumshauri mtu aliyekulia maisha ya 'misheni tauni'. Hata ndani ya familia hatuwezi!
Wewe unayejitambua umefanya nini cha maana? Kama wapinzani hawajitambui kwa nini hamuachi wananchi waamue wenyewe? Upuuzi unao wewe kwani huna unachokijua zaidi ya kukariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM mpaka umejitoa fahamu zote na kuona unyanyasaji uonevu wanaofanyiwa wapinzani ni sawa
 
Hahaha msiwategemee wamarekani, Zanzibar waliporwa 2015 waliwasaidia nini?! Chadema waliporwa 2015 wamarekani waliwasaidia nini?!

Tafuteni njia za kujisimamia, achaneni na utegemezi wa wamarekani.
 
Wakuache uwe unawabambikia kesi unawapiga risasi unawapora ushindi wakurugenziccm kufocha form kama kule ubungo?

Hapa hamna mjinga, yale maandamano yanayoendelea USA yalikuwa ya nini?Ingawa sasa wanafunika habari zake kiaina. Nini kilitokea kati ya Bush Mtoto na Al Goore yule makamu wa Clinton? Hili ndio taifa mnalotaka kutuaminisha ni mfano wa haki? Msitake kutudanganya hapa, tafuteni kwengine si JF. The guy who runs out of his mind can never ever be the President of United Republic of Tanzania, ukweli mchungu kama shubiri huu.
 
Wewe ndiyo ulitumwa kwenda kumpiga risasi? Mtu ana uchungu wa mabaya mliomtendea mnadai anamdharau Rais? Lisu hamdharau Rais bali husema mapungufu yake kwa uwazi ndipo nyinyi wanafaika wa mfumo kandamizi mnaenda kumchochea awahujumu chadema muendelee kutafuna pesa za kutokomeza upinzani Tanzania

Lissu si wa kwanza Tanzania wala Duniani hatakuwa wa mwisho. Go and find out about Huriah's the Hitite story in the Bible, leave alone this Lissu's story.
 
Hahaha msiwategemee wamarekani, Zanzibar waliporwa 2015 waliwasaidia nini?! Chadema waliporwa 2015 wamarekani waliwasaidia nini?!

Tafuteni njia za kujisimamia, achaneni na utegemezi wa wamarekani.
hata wafuasi wa dikteta Gaddafi nao walikuwa wakijimwambafai hivi hivi!
 
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia

Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!

Uchaguz tumegaramia wenyewe uchaguzi wetu ni wa haki kwa mujibu wa Katiba yetu na hakuna nchi inayo ruhusiwa kuingilia mambo ya nchi za watu kama tu nchi haijavunja sheria za nchi na wakijaribu kwa uasi nchi iko imara Sasa Hao mabeberu Watapitia wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie ngojen dawa iwaingie

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Uchaguz tumegaramia wenyewe uchaguzi wetu ni wa haki kwa mujibu wa Katiba yetu na hakuna nchi inayo ruhusiwa kuingilia mambo ya nchi za watu kama tu nchi haijavunja sheria za nchi na wakijaribu kwa uasi nchi iko imara Sasa Hao mabeberu Watapitia wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie ngojen dawa iwaingie

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
hata wafuasi wa dikteta Gaddafi nao walikuwa wakijimwambafai hivi hivi!
 
hata wafuasi wa dikteta Gaddafi nao walikuwa wakijimwambafai hivi hivi!

The point here is what happened after Khadaffi, things changed from bad to the worst ever. Ni bahati mbaya sana wapumbafu kama huyu kibaraka wanatufanya tutolee mifano ya Iraq isiyo faa kulinganishwa hata kidogo na Tanzania taifa lenye ushuhuda wa kuona mkono wa Mungu ulio hodari ukilipigania.
 
ili nchi hii watu wasifikie kuifanya iwe kama Libya au Iraq, wenye dhamana sasa watende haki.... as simple as freaking that!
 
Back
Top Bottom