kwaiyo Zimbabwe ina uspecial zaidi ya Tz mpaka yenyewe iachwe then Tz ivamiwe ?
kwa faida ya ujinga ulionao ni kuwa ni vigumu kulivamia taifa huru ambalo raia wengi wanaiunga mkono serikali yao
kwann USA alikimbia hapo Somalia failed state ?
Soma tena kwa utulivu
Wala si kazi kubwa , hao hao askari wenu mliokuwa hamjawalipa mshahara ndio wanaanza kazi
Kama vile serikali ya Magufuli inaungwa mkono na wananchi wake
Bashiru alishasema ikiwepo Tume huru CCM ni bye bye
wamekaa nayo kwa muda gan na hawakuvamiwa ?
una uhakika hawajalipwa ?
na wanaanza hiyo kazi lini
J PM alipata kura milion 8 note hicho kitu
Kwa hivyo Bashiru amepakazia ???
kwaiyo ulikuwa unatembea zako ukakutana na askari wakakukopa ?Ningalisema ??? unafikiri hao askari wanakaa kumlinda magufuli na genge lake wakati wote ????
Mbona haweshi kuja kutukopa kila kukicha
kwaiyo ulikuwa unatembea zako ukakutana na askari wakakukopa ?
hajampakazia ni kweli JPM alipata kura 3 tu haya kamtoe sasa