Serikali ya Mkapa ilipouza NBC Mwalimu Nyerere alilengwa na machozi

Serikali ya Mkapa ilipouza NBC Mwalimu Nyerere alilengwa na machozi

Moja ya makosa machache aliyoyafanya Ben, na alikili kuwa mchakato wa ubinafsishaji katika awamu yake ungeweza kufanyika kwa namna bora zaidi kuliko walivyofanya.

Kinachonisikitisha ni uwezo wetu mdogo wa kujifunza kotokana na makosa. Mwekezaji anaangalia maslahi yake, atakuja na kila aina ya data na takwimu ya namna ambayo ataweza kuongeza tija ili akuvutie, wakati huohuo anaweka vipengele vya kumlinda yeye hata akiwa na performance ya hovyo.

Kumkabidhi mtu sehemu nyeti ya nchi tena uliyotumia matrilioni kujenga na kuboresha ni jambo la kustaajabisha, alafu vihela vyenyewe anavyotaka kuwekeza ni dhihaka tupu!

Fool me once, shame on you. Fool me twice, shame on me!
 
Back
Top Bottom