Wamewadanganya, watapewa pipi watu wachache na vi infrustructure vya hapa na pale but hii ni extension tu ya Dubai Port kwa maana nyingine wanaileta Dubai hapa but all the benefit goes back to them, tutaishia kuwa na port nzuri na ya kisasa lakini capital yote ita fly back to Oman...Tutakuwa kama ma house girl wanaoishi kwenye mansions za matajiri wao huku wao ni wafanya usafi tu...Mtanzania pinga hili kwa nguvu zako zote...sio wizi ni uwekezaji mzuri unaokwenda kutupa matunda ya maziwa na asali, taifa linakwenda kuwa soko ya bidha nyingi na kituo kikuu cha kuingiza mizigo kwa nchi za afrika mashariki na kati
Kisha ujue baada ya muda watu wata realize kama ilivyo kwa madini lakini ndiyo huwezi kuvunja mkataba...Acheni kudanganywa na vipande vya vioo kama akina Mangungo