Serikali ya Mkapa ilipouza NBC Mwalimu Nyerere alilengwa na machozi

Serikali ya Mkapa ilipouza NBC Mwalimu Nyerere alilengwa na machozi

Na ndiyo mvutano(kama si ugomvi)wetu ulipo.Watu wanataka ufafanuzi wa kueleweka na maslahi itakayopata nchi.Nchi ilishaibiwa na wajanja hapo nyuma.Wameona nyasi wanalia nalo kuchelea kuchunwa ngazi wangali hai.
sasa fuatilia tbc utapata habari za uwakika juu ya hili jambo
 
Moja ya makosa machache aliyoyafanya Ben, na alikili kuwa mchakato wa ubinafsishaji katika awamu yake ungeweza kufanyika kwa namna bora zaidi kuliko walivyofanya.

Kinachonisikitisha ni uwezo wetu mdogo wa kujifunza kotokana na makosa. Mwekezaji anaangalia maslahi yake, atakuja na kila aina ya data na takwimu ya namna ambayo ataweza kuongeza tija ili akuvutie, wakati huohuo anaweka vipengele vya kumlinda yeye hata akiwa na performance ya hivyo.

Kumkabidhi mtu sehemu nyeti ya nchi tena uliyotumia matrilioni kuwekeza ni jambo la kustaajabisha, alafu vihela vyenyewe anavyotaka kuwekeza ni dhihaka tupu!

Fool me once, shame on you. Fool me twice, shame on me!
umenena vyema
 
Wekeza mkeo na wanao inatosha.
stroke usiwe na gadhabu mambo hayaendi namna hiyo rafiki yangu..nafikiri hamkuelewa mambo madogo tuh na shida nyingine mbowe nae hakuelewa matokeo yake akapotosha uma, mwenyewe anajuta sana na anakuja kulitolea ufafanuzi
 
Majizi nayo yanajua kuwekeza?. Acheni zenu, kawauzieni ile ya Zanzibar
tafuta mchumi akufafanulie vyema kuhusu huu uwekezaji wa maziwa na asali tz umebahatika kupata..
  • tulichekwa kwa muda mrefu sana kushindwa kulisha nchi kupitia bandari sasa ndio wakati wetu hadi wakenya wanatuonea wivu tz tunakwenda kuilisha afrika mashariki kwa uwekezaji huu na mingine mingi.
  1. tanzania inakwenda kuwa dubai ya afrika mashariki​
 
stroke usiwe na gadhabu mambo hayaendi namna hiyo rafiki yangu..nafikiri hamkuelewa mambo madogo tuh na shida nyingine mbowe nae hakuelewa matokeo yake akapotosha uma, mwenyewe anajuta sana na anakuja kulitolea ufafanuzi
Etii eeh.

Unatetea kabisa wizi mkuu..
 
Tusielewe watu wote sisi muelewe ninyi wachache?

Acheni kuuza urithi wetu kwa pishi la mchuzi
 
Etii eeh.

Unatetea kabisa wizi mkuu..
sio wizi ni uwekezaji mzuri unaokwenda kutupa matunda ya maziwa na asali, taifa linakwenda kuwa soko ya bidha nyingi na kituo kikuu cha kuingiza mizigo kwa nchi za afrika mashariki na kati
 
tafuta mchumi akufafanulie vyema kuhusu huu uwekezaji wa maziwa na asali tz umebahatika kupata..
  • tulichekwa kwa muda mrefu sana kushindwa kulisha nchi kupitia bandari sasa ndio wakati wetu hadi wakenya wanatuonea wivu tz tunakwenda kuilisha afrika mashariki kwa uwekezaji huu na mingine mingi.
  1. tanzania inakwenda kuwa dubai ya afrika mashariki​
Kinyume chake ndiyo kweli...Hao Dubai wameonarisk ya bandari zao kwakua soko kubwa la manufactured goods za China lipo Africa continent yenye watu wengi, Port ya Dubai ndiyo ilikuwa stop over so wachina wakija kuingia huku na kichukua port wao watakufa kifo chamende...

Si kwamba nawapenda wachina bali wao wote wawili ni mafahali wawili nyasi no sisi, zindula na acheni kuona leo tu kuna na kesho...Stop this mad and craziest idea ya kuuza nchi yetu
 
Tusielewe watu wote sisi muelewe ninyi wachache?

Acheni kuuza urithi wetu kwa pishi la mchuzi
nafikiri mtaelewa na kukubaliana na serikali na uzuri kwakuwa ni jambo la heri serikali imeona sasa ni wakati kuwaelewesha vizuri
 
Back
Top Bottom