Serikali ya Mkapa ilipouza NBC Mwalimu Nyerere alilengwa na machozi

Nchi ina wahuni sana hii tusamehe magufuri tumekosa siye tumekosa tusamehe baba
 
Reactions: Ame
imejifia vipi ilihali majuzi Serikali imepokea kiasi cha Shilingi bilioni sita kutoka Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kama gawio
Aise, natamani nikuone we binadamu...Naona aibu kuwa na jina la nchi moja na mtu kama wewe...Jambo moja tu zuri kwako ni mstaarabu...
 
NIMEJIKUTA NAANZA KUWAKUBALI ZAIDI WAKENYA.


sijui kwanini nilizalowa nchi ya MAJUHA Hivi.
 
Ila Serikali ina Hisa NBC

Kupitia kuuzwa NBC ndio ikazaliwa NMB ambayo imekuwa kubwa sababu inaendeshwa na wengine wanaojali pesa walizowekeza ie DANIDA
shida watu uwelewa ni mdogo na wachini sana hawajui serikali ina chake pale 30%
 
Zitaje baadhi, na usitaje tija tu, outcomes zake pia zitakuwaje
nikulize jambo rahisi tuh unaridhika na upakiaji na upakuaji wa mizigo ndani ya bandari kwa sasa vipi kuhusu bandari kazu zinazosaidiana na bandari kuu sasa haya yote muarubaini wake umepatikana
 
Wacha mashekhe wachukue bandari hawa jama wamebarkiwa na mungu
 
shida watu uwelewa ni mdogo na wachini sana hawajui serikali ina chake pale 30%
Huyu mzee huwa anakurupuka tu.

Bank za serikali zote zina hali mbaya sana twiga, posta, tib ziliunganishwa
 
Kwenye awamu ya nne, uuzaji wa rasilimali za nchi haukuwa umelenga kumfaidisha mtanzania bali kumhujumu. Possibly Mwl alijikuta amempigia debe mtu ambaye hakuwa raia pasipo yeye mwenyewe kufahamu hilio. Awamu ya nne ilitugharimu sana na chaos zinazoendelea hadi leo zinatokana na awamu hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…