Serikali ya Mwendazake Iliwahi mkana Bashite wakati akiendesha Oparesheni ya kuwasweka ndani "Ambao Hawajalinda mgongo"

Tatizo la Tanzania hii sio ushoga kwamba watu kukosa maji safi na salama ni ushoga kwamba kushindwa kumaliza SGR tatizo ni ushoga kwamba hizi barabara zilizo jaaa mashimo tatizo ni ushoga kuna mambo mengi ya kuangaika nayo kuliko ushoga mtu kua shoga ni maamuzi yake Kama ilivyo mtu kutumia unga madawa ya kulevya au kua malaya

Watanzania wengi hawa wanaoshadadia kuandama mashoha ni wajinga, ni sadist na bullies.

Kwa sadist bully, yeye kulala njaa kunaweza kuwa si tatizo kubwa kama yeye kukosa mnyonge wake wa kumuonea.

Yani katika akili yake huyu mtu sadist bully, kitu cha muhimu kabisa ni kumpata mnyonge wake wa kumuonea. Anaona asipokuwa na mnyonge wake wa kumuonea, yeye ndiye atakuwa mnyonge wa mwisho, na kitu hicho hataki.

Akishapata mnyonge wake wa kumuonea, anaona afadhali, matatizo yake yote mengine yanakuwa si makubwa sana kama na yeye ana mnyonge wake wa kumuonea.

Na hawa mashoga ndiyo wanyonge wa mwisho kabisa katika jamii.

Hivyo, hawa ma sadist bullies, kwa kanuni ile ile ya kuona kukosa chakula wao si tatizo kubwa kama kukosa mtu wa kumuonea, wanaacha hayo matatizo yote ya msingi, wanatafuta mnyonge wao shoga wamuonee.

Ni kama vile washakubali katika mfumo wa mwenye nguvu kumuonea asiye na nguvu, washakubali washapigwa sana na wanasiasa wezi, washajua wao hawana nguvu ya kupigana na hao wanasiasa wezi.

Wao wana nguvu ya kumpiga mnyonge wao.

Mnyonge wao nani? Mnyonge wao shoga.

Wanampiga shoga asiyewadhuru kuliko kupigana na matatizo yao yanayowadhuru.

Ndicho kinachotokea hapa.

Hii ni sadism na bullying tu.
 
Tatizo la Tanzania hii sio ushoga kwamba watu kukosa maji safi na salama ni ushoga kwamba kushindwa kumaliza SGR tatizo ni ushoga kwamba hizi barabara zilizo jaaa mashimo tatizo ni ushoga kuna mambo mengi ya kuangaika nayo kuliko ushoga mtu kua shoga ni maamuzi yake Kama ilivyo mtu kutumia unga madawa ya kulevya au kua malaya
Vijana wote wakiwa mashoga hao vibarua wa kujenga barabara na visima vya maji watapatikana wapi?
 
Umemaliza kila kitu.
 
Mkuu,

Ushoga ni lifestyle tu. Watu wakiamua wao kuishi hivyo wewe una shida gani?

Focus kwenye maisha yako, kama hupendi mashoga usiwaingilie, tafuta mke wako ukae naye.

Serikali ya Magufuli, hususan kwa kupitia marehemu Balozi Dr. Augustine Mahiga, mwanadiplomasia wa kimataifa aliyeijua dunia, ilijua kuwa kuna mikataba ya haki za binadamu, ambazo haki za hao mnaowaita mashoga zimo pia (right to self determination, right to sexual orientation preference). Serikali imesaini mikataba kutetea haki za binadamu watu wasibaguliwe kwa sababu ya sexual orientation zao.

Ndiyo maana Balozi Dr. Mahiga akili kubwa akamkana Makonda, na Magufuli pamoja na ubabe wake wote, alikaa kimya kuwa kamuelewa Balozi Mahiga na kamkama Makonda.

Magufuli alijua kuwa hili jambo si la Tanzania tu litakuwa la kimataifa.

Akasema waacheni hao wa.senge msiwasumbue, mimi hawanisumbui.

Wewe wa.senge, mashoga, wasagaji wanakusumbua nini?

Yani ukiondoa suala la kutaka kuwapangia watu wengine waishi unavyotaka wewe, kwa dini yako, kwa morals zako, kitu ambacho si haki, suala la ushoga wa watu waliokubaliana wenyewe wewe mtu baki una point gani ya kimantiki ya kulipinga?
Hujawahi kuniangusha kabisa, naomba uwape semina elekezi km hivi.
👏👏👏
 
Unalazimisha mimi siko huko.

Umeshindwa kijadili hoja unaketa viroja.

Umeshindwa kufanya fikra dhahania, abstract thinking, kwamba si lazima mtu awe shoga ili atambue haki za mashoga kutobaguliwa.

Kama vile ilibyo kwamba si lazima mtu awe mweusi iki atambue haki za watu weusi kutobaguliwa.

Umeshindwa hoja, unaleta viroja.

Na labda hukuwa na haja ya kujadili hoja to begin with.

You are just a sadist bully looking for weaker oppressed people to bully.
Piga baba, piga tena baba.
Aloooooh! 😂😂😂
 
Watanzania wengi hawa wanaoshadadia kuandama mashoha ni wajinga, ni sadist na bullies.

Kwa sadist bully, yeye kulala njaa kunaweza kuwa si tatizo kubwa kama yeye kukosa mnyonge wake wa kumuonea.

Yani katika akili yake huyu mtu sadist bully, kitu cha muhinu kabisa ni kumpata mnyonge wake wa kumuonea. Anaona asipokuwa na mnyonhe wake wa kumuonea, yeye ndiye atakuwa mnyonge wa nwisho, na kitu hicho hataki.

Akishapata mnyonge wake wa kumuonea, anaona afadhali, matatizo yake yote mengine yanakuwa si makubwa sana kama na yeye ana mnyonge wake wa kumuonea.

Na hawa mashoga ndiyo wanyonge wa mwisho kabisa katika jamii.

Hivyo, hawa ma sadist bullies, kwa kanuni ile ile ya kuona kukosa chakula wao si tatizo kubwa kama kukosa mtu wa kumuonea, wanaacha hayo matatizo yote ya msingi, wanatafuta mnyonge wao shoga wamuonee.

Ni kama vile washakubali katika mfumo wa mwenye nguvu kumuonea asiye na nguvu, washakubali washapigwa sana na wanasiasa wezi, washajua wao hawana nguvu ya kupigana na hao wanasiasa wezi.

Wao wana nguvu ya kumpiga mnyonge wao.

Mnyonge wao nani? Mnyonge wao shoga.

Wanampiga shoga asiyewadhuru kuliko kupigana na matatizo yao yanayowadhuru.

Ndicho kinachotokea hapa.

Hii ni sadism na bullying tu.
Swadaktaaaaaa!!!
 
Mmeshindwa kupambana na mbabe wenu samia, mnakimbilia kupambana na mashoga.

Kama mna nguvu kweli hebu mkaandamane kumpinga samia na jeshi lake muone mtakavyonyooshwa.

Mbunge mwenyewe huyo anayepinga ushoga kaoza meno badala akamuone dentist kakazana na mikundu ya watu.

Mimeno imemomonyoka kama ya ngiri my Gadness!! :1Head:

Hopeless indeed :pedroP:

Kaona huko kwenye chama hafurukuti na mijino yake iliyooza amekutana na miamba ya dola akaamua atafute weak point ya kujitutumua :pedroP:

Fala indeed :1Head:

ila jamanii hata mtu aliyeoza meno naye anapinga ushoga nachoka sana :pedroP:

Cc: Tlaatlaah cocastic
 
Mmeshindwa kupambana na mbabe wenu samia, mnakimbilia kupambana na mashoga.

Kama mna nguvu kweli hebu mkaandamane kumpinga samia na jeshi lake muone mtakavyonyooshwa.

Mbunge mwenyewe huyo anayepinga ushoga kaoza meno badala akamuone dentist kakazana na mikundu ya watu.

Mimeno imemomonyoka kama ya ngiri my Gadness!! :1Head:

Hopeless indeed :pedroP:

Kaona huko kwenye chama hafurukuti na mijino yake iliyooza amekutana na miamba ya dola akaamua atafute weak point ya kujitutumua :pedroP:

Fala indeed :1Head:

Cc: Tlaatlaah cocastic
Umesahau kajichubua chubwaaaa, ana rangi 4 km sio 3 mbagala, sijui hajui vipodozi, afanye atafute sun screen na skin care kwanza kabla ya kupayuka hovyo bungeni.
Lol
 
Kwanza nimegundua wanaopinga ushoga mara nyingi ni mashoga pia. It is a strategic psychological defense.

Na lilivyojichubua usikute linafirwa kweli :pedroP:
 
Vijana wote wakiwa mashoga hao vibarua wa kujenga barabara na visima vya maji watapatikana wapi?
Mkuu,

Mashoga wapo wa kila aina.

Nafikiri picha yako ya mtu shoga ni mtu nyoronyoro mzembe tu.

Huelewi kuwa kuna mashoga wabeba vyuma wengi tu? Wamejaa kibao kwenye ma gym ukishindana nao kazi nzito na kunyanyua vyuma wengine hutawashinda.
 
Sijui ila Kwa kuwa walitaka kuleta fujo walitendwa sahihi hata kama sio sahihi.

Wewe mjinga mtu aliyekuja kusikiliza kesi , amepumzika hotelini mnaenda na mabunduki kutaka afungue bila sababu na hamna utambulisho rasmi halafu baadae mnatokomea nae ndio vurugu hizo?
 
Mkuu,

Mashoga wapo wa kila aina.

Nafikiri picha yako ya mtu shoga ni mtu nyoronyoro mzembe tu.

Huelewi kuwa kuna mashoga wabeba vyuma wengi tu? Wamejaa kibao kwenye ma gym ukishindana nao kazi nzito na kunyanyua vyuma wengine hutawashinda.
Kwenda Gym sio alama ya kuwa shupavu.
Unajua sababu ya hao wanaokwenda Gym kuwa mashoga?ni kwa sababu hawataki kazi ngumu wanataka kuongwa hela na matajiri wao kazi yao ni kutengeneza body tu
 
Mashoga wapo wa kila aina, wengine kama wanajeshi kabisa wamegangamala. Hii image ya mashoga kuwa watoto wazuri hawawezi kazi ngumu ni stereotype tu.
 
Hahaha eti kama wanajeshi
Mkuu,

Wiki hii tu kama sikosei, nimeona kuna mtu mwanamme huko kusini nafikiri Mtwara, kapigwa kesi ya kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile, ukimuona hata sura tu huwezi kufikiria kuwa huyu naye mambo hayo kabisaa.
 
Back
Top Bottom