Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
ChoiceVariable serikali yako usihangaike kuitag kweny hilo jambo labda uwe mwendawazimu.
Ila kwa mtu kama wewe nashangaa inakuaje unaambatanisha na hiyo clip ya mbunge.
Kwamba hujui serikali yako inasupport hao watu??
Kituko ni ukisikiliza jibu la naibu waziri, hajagusia chochote zaidi ya kutupa lawama na majukumu kwa wazazi.
Ukiwa kada, shabiki au mpenzi wa ccm halafu ukawa unapinga ushoga, hakika unakua kiazi mbatata kabisa.