Serikali ya Mwendazake Iliwahi mkana Bashite wakati akiendesha Oparesheni ya kuwasweka ndani "Ambao Hawajalinda mgongo"



Watanzania wengi hawa wanaoshadadia kuandama mashoha ni wajinga, ni sadist na bullies.

Kwa sadist bully, yeye kulala njaa kunaweza kuwa si tatizo kubwa kama yeye kukosa mnyonge wake wa kumuonea.

Yani katika akili yake huyu mtu sadist bully, kitu cha muhimu kabisa ni kumpata mnyonge wake wa kumuonea. Anaona asipokuwa na mnyonge wake wa kumuonea, yeye ndiye atakuwa mnyonge wa mwisho, na kitu hicho hataki.

Akishapata mnyonge wake wa kumuonea, anaona afadhali, matatizo yake yote mengine yanakuwa si makubwa sana kama na yeye ana mnyonge wake wa kumuonea.

Na hawa mashoga ndiyo wanyonge wa mwisho kabisa katika jamii.

Hivyo, hawa ma sadist bullies, kwa kanuni ile ile ya kuona kukosa chakula wao si tatizo kubwa kama kukosa mtu wa kumuonea, wanaacha hayo matatizo yote ya msingi, wanatafuta mnyonge wao shoga wamuonee.

Ni kama vile washakubali katika mfumo wa mwenye nguvu kumuonea asiye na nguvu, washakubali washapigwa sana na wanasiasa wezi, washajua wao hawana nguvu ya kupigana na hao wanasiasa wezi.

Wao wana nguvu ya kumpiga mnyonge wao.

Mnyonge wao nani? Mnyonge wao shoga.

Wanampiga shoga asiyewadhuru kuliko kupigana na matatizo yao yanayowadhuru.

Ndicho kinachotokea hapa.

Hii ni sadism na bullying tu.
 
Vijana wote wakiwa mashoga hao vibarua wa kujenga barabara na visima vya maji watapatikana wapi?
 
Umemaliza kila kitu.
 
Hujawahi kuniangusha kabisa, naomba uwape semina elekezi km hivi.
👏👏👏
 
Piga baba, piga tena baba.
Aloooooh! 😂😂😂
 
Swadaktaaaaaa!!!
 
Mmeshindwa kupambana na mbabe wenu samia, mnakimbilia kupambana na mashoga.

Kama mna nguvu kweli hebu mkaandamane kumpinga samia na jeshi lake muone mtakavyonyooshwa.

Mbunge mwenyewe huyo anayepinga ushoga kaoza meno badala akamuone dentist kakazana na mikundu ya watu.

Mimeno imemomonyoka kama ya ngiri my Gadness!!

Hopeless indeed

Kaona huko kwenye chama hafurukuti na mijino yake iliyooza amekutana na miamba ya dola akaamua atafute weak point ya kujitutumua

Fala indeed

ila jamanii hata mtu aliyeoza meno naye anapinga ushoga nachoka sana

Cc: Tlaatlaah cocastic
 
Umesahau kajichubua chubwaaaa, ana rangi 4 km sio 3 mbagala, sijui hajui vipodozi, afanye atafute sun screen na skin care kwanza kabla ya kupayuka hovyo bungeni.
Lol
 
Umesahau kajichubua chubwaaaa, ana rangi 4 km sio 3 mbagala, sijui hajui vipodozi, afanye atafute sun screen na skin care kwanza kabla ya kupayuka hovyo bungeni.
Lol
Kwanza nimegundua wanaopinga ushoga mara nyingi ni mashoga pia. It is a strategic psychological defense.

Na lilivyojichubua usikute linafirwa kweli
 
Vijana wote wakiwa mashoga hao vibarua wa kujenga barabara na visima vya maji watapatikana wapi?
Mkuu,

Mashoga wapo wa kila aina.

Nafikiri picha yako ya mtu shoga ni mtu nyoronyoro mzembe tu.

Huelewi kuwa kuna mashoga wabeba vyuma wengi tu? Wamejaa kibao kwenye ma gym ukishindana nao kazi nzito na kunyanyua vyuma wengine hutawashinda.
 
Sijui ila Kwa kuwa walitaka kuleta fujo walitendwa sahihi hata kama sio sahihi.

Wewe mjinga mtu aliyekuja kusikiliza kesi , amepumzika hotelini mnaenda na mabunduki kutaka afungue bila sababu na hamna utambulisho rasmi halafu baadae mnatokomea nae ndio vurugu hizo?
 
Mkuu,

Mashoga wapo wa kila aina.

Nafikiri picha yako ya mtu shoga ni mtu nyoronyoro mzembe tu.

Huelewi kuwa kuna mashoga wabeba vyuma wengi tu? Wamejaa kibao kwenye ma gym ukishindana nao kazi nzito na kunyanyua vyuma wengine hutawashinda.
Kwenda Gym sio alama ya kuwa shupavu.
Unajua sababu ya hao wanaokwenda Gym kuwa mashoga?ni kwa sababu hawataki kazi ngumu wanataka kuongwa hela na matajiri wao kazi yao ni kutengeneza body tu
 
Kwenda Gym sio alama ya kuwa shupavu.
Unajua sababu ya hao wanaokwenda Gym kuwa mashoga?ni kwa sababu hawataki kazi ngumu wanataka kuongwa hela na matajiri wao kazi yao ni kutengeneza body tu
Mkuu,

Mashoga wapo wa kila aina, wengine kama wanajeshi kabisa wamegangamala. Hii image ya mashoga kuwa watoto wazuri hawawezi kazi ngumu ni stereotype tu.
 
Hahaha eti kama wanajeshi
Mkuu,

Wiki hii tu kama sikosei, nimeona kuna mtu mwanamme huko kusini nafikiri Mtwara, kapigwa kesi ya kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile, ukimuona hata sura tu huwezi kufikiria kuwa huyu naye mambo hayo kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…