Serikali ya Mwendazake Iliwahi mkana Bashite wakati akiendesha Oparesheni ya kuwasweka ndani "Ambao Hawajalinda mgongo"

Ile ya zamani sana mbona, alishatoka uraiani muda sanaa.
Nilikuwa naitafuta nikaona ya kitambo labda ndiyo naiona.

Lakini sura umeiona ilivyokomaa?

Mpaka unajiuliza huyu naye shoga kweli?

Wapo wa kila aina.
 
Nilikuwa naitafuta nikaona ya kitambo labda ndiyo naiona.

Lakini sura umeiona ilivyokomaa?

Mpaka unajiuliza huyu naye shoga kweli?

Wapo wa kila aina.
Haswaaa.
 
Mkuu,

Mashoga wapo wa kila aina.

Nafikiri picha yako ya mtu shoga ni mtu nyoronyoro mzembe tu.

Huelewi kuwa kuna mashoga wabeba vyuma wengi tu? Wamejaa kibao kwenye ma gym ukishindana nao kazi nzito na kunyanyua vyuma wengine hutawashinda.
Mambo ya chipo kidali mbeba vyuma πŸ˜„
Hawa ni kuwaacha na maisha yao tu
Kuna mtu anapinga ushoga lkn ikitokea event zao utamkuta na yeye yuko ndani πŸ˜„

Ova
 
Mambo ya chipo kidali mbeba vyuma πŸ˜„
Hawa ni kuwaacha na maisha yao tu
Kuna mtu anapinga ushoga lkn ikitokea event zao utamkuta na yeye yuko ndani πŸ˜„

Ova
Wabongo wanafiki kuliko makasisi wa Kikatoliki πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu,

Mashoga wapo wa kila aina, wengine kama wanajeshi kabisa wamegangamala. Hii image ya mashoga kuwa watoto wazuri hawawezi kazi ngumu ni stereotype tu.
Nabii titoo mwenyewe zamani alikuwa anapiga vyuma kifua hicho biceps hizo enzi hizo anafanya kazi ya ukinyozi
Kilichomkuta anajuwa mwenyewe πŸ˜„

Ova
 
KWa mujibu wa Sheria za Tz ushoga ni jinai.
Kama wanazijua hizo kwanini wameuharamisha kwa mujibu Sheria?

Kama ndo hivyo basi waifute Sheria inayo haramisha huo ushoga na sio unafiki huu unao endelea .
Juzi tu Kuna mtu kahukumiwa jera kwa kosa la kufanya ushoga je hizo haki za kimataifa hazimuhusu?.
Alafu Kila nchi ina Sheria zake za kimaadili kutokana na utamaduni wa nchi husika , Indonesia sio ushoga hata kufanya mapenzi nje ya ndoa ni jinai ukabainika unaenda jera.
Watu wanahoji ni kwann serikali kufumbia macho ushoga hali ya kuwa ni kinyume cha Sheria kama wanavyo hoji mambo engine,mkitaka wasihoji basi iambie serikali iuhalalishe.
 
Swadaktaaaaaa!!!
Kwa mujibu wa Sheria za Tz ushoga ni kosa la jinai ndo maana watu wanahoji,kama mnataka watu wasihoji iambie serikali yenu iuhalalishe tujue Moja na sio unafiki huu unao endelea.
 
Hizo sheria zilikuwapo dunia nzima.

Ni sawa na sheria za kuruhusu utumwa tu.

Ila, kuna nchi zinawahi kuziondoa hizo sheria, nyingine zinachelewa kwa sababu ya utamaduni.

Zaidi, tukiongelea sheria, watu wengi wanahusisha moja kwa moja sodomy na ushoga.

Sheria za kukataza sodomy si za ushoga. Kwa sababu sheria za kukataza sodomy zinahusika hata kwenye mahusiano ya mwanamme na mwanamke, hata kwenye ndoa.

Sasa unasema watu wasile jicho (analnsex), hata kwa wanaume wanaowala wanawake, kwa kukibaliana, pia, kwa sababu sheria inakataza?

Na kama ni hivyo, kwa nini hili liwe suala la ushoga tu, wakati kula jicho (anal sex) hususan wanaume kuwafanya hivyo wanawake, ndiyo mtindo wa mjini sasa?

Hawa wanaume wanaowafanya hivyo wanawake na wanawake wanaofanywa hivyo na wanaume zao nao ni mashoga?

Nao wafungwe?
 
Bora uwe unanisaidia km hivi, nachoka mie kwa kweli.
 
Mambo ya chipo kidali mbeba vyuma πŸ˜„
Hawa ni kuwaacha na maisha yao tu
Kuna mtu anapinga ushoga lkn ikitokea event zao utamkuta na yeye yuko ndani πŸ˜„

Ova
Inashangaza, mtu anapinga ushova, kutwa kupiga vizinga na vibomu *******,
Lol
 
Kwa mujibu wa Sheria za Tz ushoga ni kosa la jinai ndo maana watu wanahoji,kama mnataka watu wasihoji iambie serikali yenu iuhalalishe tujue Moja na sio unafiki huu unao endelea.
Iuhalalishe mara ngapi? Ukiona serikali iko kimya juu ya jambo hilo ujue ni halali, kwani wakati wa Magu, ile barua ya waziri Mahiga hukuona? Au unataka uhalalishwe tofauti na pale nini?
 
Wewe ile suala la muharami kule mtwara, sio leo wala jana, ni muda mrefu na alishatoka uraiani, yuko Temeke hapo anatamba tu.
Tena sherehe ya juzi nahisi alikuwepo pia.
 
Nabii titoo mwenyewe zamani alikuwa anapiga vyuma kifua hicho biceps hizo enzi hizo anafanya kazi ya ukinyozi
Kilichomkuta anajuwa mwenyewe πŸ˜„

Ova
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bora uwe unanisaidia km hivi, nachoka mie kwa kweli.
Wakina Diamond na Harmonize na basically muziki wote wa Bongofleva wanaongelea kula ndogo kila siku, na hizo ndiyo hits, lakini hakuna mtu anayewasema.

Mjini Dar kwa wanaume usipokula ndogo kwa mwanamke sasa hivi unaonekana wewe mshamba.

Lakini, watu wanashobokea mashoga tu.

Kitendo kilekile cha kuingia kwenye kinyesi.

Hapa tatizo si kitendo, kwa sababu kitendo kilekile anafanyiwa mwanamke watu hawana shida, wao wenyewe wanaomba kila siku, wanahonga pesa ndefu wapewe ndogo.

Tatizo ni mfumodume, utukufu wa uanaume unaangushwa kwa wanaume kukubali kutoa vijambio vyao wenyewe.

Yani ni kama kuna mkataba fulani kati ya wanaume wote kwamba, hata kama kijambio si changu, ikiwa mwanamme mwingine atakitoa, nitadhalilika mimi.

Sasa anayetoa kijambio chake si yeye, yeye ana chake hajatoa.

Anashadadia kesi ya mwenzake kwa nini?
 
Ahsante sana, ndio faida ya kuishi Mambele, em wape semina elekezi hawa wanaume uchwara wa kwa mtogole.
Woiiiiih πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Iuhalalishe mara ngapi? Ukiona serikali iko kimya juu ya jambo hilo ujue ni halali, kwani wakati wa Magu, ile barua ya waziri Mahiga hukuona? Au unataka uhalalishwe tofauti na pale nini?
Waifute hiyo Sheria inayo haramisha huo ushoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…