Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
SijuiChoiceVariable serikali yako usihangaike kuitag kweny hilo jambo labda uwe mwendawazimu.
Ila kwa mtu kama wewe nashangaa inakuaje unaambatanisha na hiyo clip ya mbunge.
Kwamba hujui serikali yako inasupport hao watu??
Kituko ni ukisikiliza jibu la naibu waziri, hajagusia chochote zaidi ya kutupa lawama na majukumu kwa wazazi.
Ukiwa kada, shabiki au mpenzi wa ccm halafu ukawa unapinga ushoga, hakika unakua kiazi mbatata kabisa.
Naomba nikuulize. Hivi wewe unajuaje kuwa mwanaume huyu ni shoga? Mimi nashindwa kuwajua.Mbunge amenyooka sana huyu kwenye hizo zaga.
Muonekano wake tuu, gestures. Ni ngumu kuwatambua pia sometimes mpaka ulifumanie kwenye Angle.Naomba nikuulize. Hivi wewe unajuaje kuwa mwanaume huyu ni shoga? Mimi nashindwa kuwajua.
Jibu la kipumbavu kabisa!Muonekano wake tuu, gestures. Ni ngumu kuwatambua pia sometimes mpaka ulifumanie kwenye Angle.
Bora useme wewe. πππJibu la kipumbavu kabisa!
Yah inawezekana la kipumbavu ila nimeshawahi kuwatambua wawili kwa kuwaangalia tuu.Jibu la kipumbavu kabisa!
Kulalamika imekuwa too much. Pelekeni muswada binafsi, itungwe sheria ya kuwahasi kama munavyo pendekezaNawakumbusha tuu.
Yaelekea Hawa Wasiolinda mgongo wanaogopwa sana ndio maana husikii Kauli thabiti ya serikali kukemea kama walivyofanya Kwa wale Watoto wa shule waliokuwa wanatikisa makalio.
View: https://www.instagram.com/reel/DfHxU2eMOUA/?vrfl=MTY1eGp3a3l5N2poag==
My Take
Wanaume wakiacha kuwa wateja haya mambo yatakoma,inakuaje unaliingilia limwanaume halivutii na wanawake Waziri wapi wengi Kila kitu kitamu?