Serikali ya nchi hii ni mwanachama wa CCM na inalazimisha raia wote tuwe CCM wale wanaokaidi wanakuwa maadui wa serikali

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki

Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la
Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama
Nimepata pia malalamiko kutoka kijijini juu ya vitisho vya kukosa huduma muhimu kwa wale walogoma kuandikishwa
Sijui nini malengo ya hiki chama kwa taifa hili.
 
Na lazime uende na kadi yako ya mpiga kura, sijui ofisi ya msajili wa vyama vya siasa na tume ya Taifa ya uchaguzi zinaliongeleaje hili. Au mpaka wapinzani nao waanze kusajili wanachama na kuwaomba kadi zao za mpiga kura ndiyo watishie kuvifutia usajili?
 
Watanzania tuamkeni
 
Ccm imepoteza mvuto
 
Halafu nimemsikia msajili wa vyama vya siasa akifungua semina ya vyama vya siasa kuhusu amani, lakini matendo y CCM hakemei ila ukienda kusikiliza nondo za no reform no election umevuruga amani
 
Wamesajili Wanafunzi wengi kwa lazima, hasa wale wa Shule za bweni za umma, zote O'level na A'level. Ila cha ajabu madogo ukiwauliza ni nani wanayemkubali hapa nchini wanakwambia "Lissuuuuu!!!".
 
Chama Cha kimafia hiki
 
Sijui kwanini hawataki kukubaliana na matokeo
 
CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki

Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la
Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama
Nimepata pia malalamiko kutoka kijijini juu ya vitisho vya kukosa huduma muhimu kwa wale walogoma kuandikishwa
Sijui nini malengo ya hiki chama kwa taifa hili.
Wafukuzeni, mnaogopa ngup za kijani?
 
Na lazime uende na kadi yako ya mpiga kura, sijui ofisi ya msajili wa vyama vya siasa na tume ya Taifa ya uchaguzi zinaliongeleaje hili. Au mpaka wapinzani nao waanze kusajili wanachama na kuwaomba kadi zao za mpiga kura ndiyo watishie kuvifutia usajili?
Nipo Mkuranga hapa, vibarua wangu wawili wameniuliza hii kitu kuwa eti wanaitwa kwenye ofisi ya CCM Kata, waende na kadi ya kupigia kura!
Nimewaambia wasiende na hawatofanywa chochote,wao wanadai wameambiwa watakosa huduma kama pembejeo (sulphur).
 
Ndo wanavotishia hivyo, hata huku nilipo Shinyanga vijjn ni hivyo hivyo ila naona wamama ndo wanatiririka ila mibaba mingi wala haijali.
 
CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki

Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la
Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama
Nimepata pia malalamiko kutoka kijijini juu ya vitisho vya kukosa huduma muhimu kwa wale walogoma kuandikishwa
Sijui nini malengo ya hiki chama kwa taifa hili.
Wajiandikishe,na nafasi nayo wataiandikisha?
 
Katiba na Sheria zetu zinasemaje ili tuone namna ya kuwapelka mahakamani.
 
Back
Top Bottom