Serikali ya nchi hii ni mwanachama wa CCM na inalazimisha raia wote tuwe CCM wale wanaokaidi wanakuwa maadui wa serikali

Serikali ya nchi hii ni mwanachama wa CCM na inalazimisha raia wote tuwe CCM wale wanaokaidi wanakuwa maadui wa serikali

Gharama za hizi kadi za electronic zingeweza kuwakatia bima za miaka kumi wazee wote nchini
 
CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki

Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la
Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama
Nimepata pia malalamiko kutoka kijijini juu ya vitisho vya kukosa huduma muhimu kwa wale walogoma kuandikishwa
Sijui nini malengo ya hiki chama kwa taifa hili.
Watumishi wanaambiwa wawasilishe vitambulisho vyao vya kura kwakubwa wa chama
 
Nipo Mkuranga hapa, vibarua wangu wawili wameniuliza hii kitu kuwa eti wanaitwa kwenye ofisi ya CCM Kata, waende na kadi ya kupigia kura!
Nimewaambia wasiende na hawatofanywa chochote,wao wanadai wameambiwa watakosa huduma kama pembejeo (sulphur).
Ndiyo matisho Yao hayo mkuu
 
Back
Top Bottom