cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,869
Kila kichuguu kina mchwa wake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehe tehe nnazo 2 gongo la mboto masaki labda ni Ile 10% iliyobakiZile Eicher za Gongo la Mboto/ Masaki asilimia 90 ni za kwake.
Dizaini unamdefendkwani makonda anautajiri gani?
mtutajie hapa vitu anavyomiliki kwanza
Mwambieni abdul awe na heshima,kwani kipindi cha nyuma aliona Ridhiwan akikaguliwa kwann kipindi hichi,kila ale kwa wakat wake
Kwanini wamfananisha na Riziwan?Hata wakati wa Riziwan mlisema hivyo tu. Baba yake ameondoka kwenye Urais lakini hata kumsogelea Riziwan huwezi wewe nyumb! Tumeshawazoea na mapovu yenu!
Huwa hainaga mwisho mwemaWatz tutamuomba aendelee kutuongoza!
Yale magari ya kifahari ambayo ameweka plate number RC DSM yaptayo 9 hujuikwani makonda anautajiri gani?
mtutajie hapa vitu anavyomiliki kwanza
Hata mugabe ,bashiru walijua wataishi mileleMkuu kwa kauli hii ndo utafanya watu wasing'atuke aslani.Hofu...hofu...hofu.
Mwacheni mtoto wa baba ale mema ndio wakati wakeNdugu ,mbona unadiscourage jambo jema!?
Sasa ukiwabana ili wakuthibitishie utashangaa, sijui watu wana akili ganiWaswahili kwa uzushi na stori za kutunga hatujambo, yanarudi yale yale ya kudai eti Ridhiwan Kikwete anamiliki vituo vyote vya Petrol kuanzia Kimara mpaka Morogoro - uongo mtupu.
Mods watauchinja huu uzi hawatarekebisha headingHeading hiyo...
Tumuombee sana Abdul Nondo asipotee , baada ya Gazeti la MwanaHalisi kuripoti hadi kijiji anachotoka Daudi Bashite tena kwa ushahidi mwanana uliotukuka , likafungiwa maisha
Ukisikia serikali imezuia wala usitake kujua ni tamko la nani. Kuna watu wana special duty awamu ya tano.Tumuombee sana Abdul Nondo asipotee , baada ya Gazeti la MwanaHalisi kuripoti hadi kijiji anachotoka Daudi Bashite tena kwa ushahidi mwanana uliotukuka , likafungiwa maisha