Serikali ya Rais Magufuli yagoma kumfanyia uchunguzi Makonda juu ya utajiri na mali alizonazo kazipataje

Serikali ya Rais Magufuli yagoma kumfanyia uchunguzi Makonda juu ya utajiri na mali alizonazo kazipataje

Hawawezi kukubali
Rtilioni 1.5 iliyokwapuliwa kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG hapa inahusika sana.
Jiulizeni ni kwa nini mlinzi mkuu wa mali za umma badala ya kuomba details za undani kuhusu huu wizi alimshambulia cag kwa kuuona huu wizi.
Kuna wanaotunukiwa majina ya masoko leo hii sii kwa mena waliyowafanyia watanzania bali kwa kumlinda mlinzi mkuu dhidi ya bunge kuhoji upotevu wa 1.5Triloni katika bajeti kuu .
Kwa hali kama hii, ni kwa nini ndoto ya nabii Tito isitimie?
 
Makonda ameshawanyang'anya wahindi na waarabu wengi mali zao wakiwemo akina GSM akina MO. Huyo ni jambazi kama majambazi wengine! Huo ni utajiri wa laana tu. Huyo babake wa kambo anampa kiburi sana Huyo shoga. siku jiwe akiondoka makonda atakuwa masikini atanyang'anywa hadi baiskeli.
Haya maneno yalikuwaga kipindi kile kwa ridhiwani, kila petrol station mpya tuliambiwa yake, kila ghorofa jipya lake! Leo wamesahau
Nakumbuka kipindi kile kila petrol station mpya ilikuwa ya ridhiwani, kila jengo jipya kubwa ni la ridhiwani! Watu wanaenda na upepo
Halafu wakasema Baba yake akitoka watamkomesha lakini hadi leo kimya
 
Mkuu kwa kauli hii ndo utafanya watu wasing'atuke aslani.Hofu...hofu...hofu.
Awamu zijazo zitaruhusu tu hakuna shida,mali za wapigaji wote zitataifishwa tu wananchi watunze tu vielelezo.Wanaishi nyumba za vioo hao hakuna shida
 
Makonda ameshawanyang'anya wahindi na waarabu wengi mali zao wakiwemo akina GSM akina MO. Huyo ni jambazi kama majambazi wengine! Huo ni utajiri wa laana tu. Huyo babake wa kambo anampa kiburi sana Huyo shoga. siku jiwe akiondoka makonda atakuwa masikini atanyang'anywa hadi baiskeli.
Vipi kama rais ajaye ana connection nae?.Je,hatalindwa?
 

Hi ni nani huyo aliyesababisha akawa RC?

RAI-MCHOCHEZI.jpg
 
kwani makonda anautajiri gani?

mtutajie hapa vitu anavyomiliki kwanza
 
Zile Eicher za Gongo la Mboto/ Masaki asilimia 90 ni za kwake.

Waswahili kwa uzushi na stori za kutunga hatujambo, yanarudi yale yale ya kudai eti Ridhiwan Kikwete anamiliki vituo vyote vya Petrol kuanzia Kimara mpaka Morogoro - uongo mtupu.
 
Kila masika na vyura wake, naona ile awamu ya kila semi ni la Riz, kila gholofa ni la Riz, kila kituo cha mafut ni cha Riz imepita sasa kila Benz ni la Makonda.....hizi ndio akili zetu watanganyika! Nani katuroga eti kuwa tajiri ni dhambi? iba, dhulumu kuwa tajiri, sisi hatuna shida na wewe!
 
kwani makonda anautajiri gani?

mtutajie hapa vitu anavyomiliki kwanza
Umesema tuwatajie?. Nyie ndio group gani mbali na sisi waTanzania?. Tuwatajie nyie ndio group la tabaka la juu? Group la kujichotea chochote hakuna wa kuhoji?
 
Labda serikali inataka kutengeneza “oligarchs” kama kule Urusi. Ambapo serikali ina watu wake imewatajirisha na inawalinda. System nzuri kwa srikali ya kidikteta kama ile ya Putin.
Siyo Urusi peke yake, hata South Afrika: mfano ni Raisi wao Ramaphosa, Tokyo Sexwale na wengine wametajirishwa
 
Kwanza Gazeti lenyewe tu lililoandika kichefu chefu, hebu kapekueni madudu ya wagombea wenu huko kwenye chama chenu ili mpate watu wenye akili kidogo za kuwaongoza, maana mmeshindwa kutaja hata hizo mali tu.
Ninacho shangazwa na wakati huu tulio nao ni kuona mtu anajitanabaisha kuwa yeye ni mjinga kisha anaona fahari kabisa wengine kumtambua kuwa ni mjinga.
Mmepatwa na nini @Mnyaluhala?
 
Back
Top Bottom