Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,921
- 4,683
Hawawezi kukubali
Rtilioni 1.5 iliyokwapuliwa kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG hapa inahusika sana.
Jiulizeni ni kwa nini mlinzi mkuu wa mali za umma badala ya kuomba details za undani kuhusu huu wizi alimshambulia cag kwa kuuona huu wizi.
Kuna wanaotunukiwa majina ya masoko leo hii sii kwa mena waliyowafanyia watanzania bali kwa kumlinda mlinzi mkuu dhidi ya bunge kuhoji upotevu wa 1.5Triloni katika bajeti kuu .
Kwa hali kama hii, ni kwa nini ndoto ya nabii Tito isitimie?