Serikali ya Rais Magufuli yagoma kumfanyia uchunguzi Makonda juu ya utajiri na mali alizonazo kazipataje

Bashite na jiwe ni watakatishaji fedha. Washtakiwe kwa uhaini na usaliti dhidi ya taifa. Haiwezekani mtu mmoja ajitwalie mamlaka ya kupora pesa za kodi azitumie atakavyo.
 
Ni swala la muda watakimbia nchi wait 2026
 
Mkiulizwa ruzuku mnakimbilia kwenye hoja za kipumbafu

State agent
Bashite na jiwe ni watakatishaji fedha. Washtakiwe kwa uhaini na usaliti dhidi ya taifa. Haiwezekani mtu mmoja ajitwalie mamlaka ya kupora pesa za kodi azitumie atakavyo.
 
huyu dogo (Nondo) akiendelea kucheza na DAB atapotzwa tena

akitoweka safari hii sijui kama atarudi
 
Kutoka maktaba yetu.
Mo baada ya kutekwa akampa kuwa Mshauri mkuu wa Simba !

2275528_Nafurahi_sana_kumkaribisha_RC_wetu_Mnyama_mwenzangu_PAUL_MAKONDA_kwenye_Bodi_ya__425_X...jpg
 
Nchi hii sijui kwanini wanaopatiwa vyeo,nafasi wanakuwaga wezi

Ova
 
Back
Top Bottom