Hivi karibuni tumeambiwa kuwa eerikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo menig yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na maligno yaliyokuwa wenye visin ya nchi za Asia wakati wanatafuta Maendeleo ya n;chi zao; mfano mzuri ni SINGAPORE.
Nchi hizi zinazojulikana kama ASIAN TIGERS hazijafanya Siri mikakati waliotumia kufika hapo walipofikia katika maendeleo yao. Everything they didi is well documented, it is just a question reading their treatises and you will know what strategies were used to enable them to reach their level of development. Sasa Makamu wa Rais Mpango unataka kutumia mabillion ya toto zeta kuwa pelota has wataalam/rafiki yake aliowateua kuandika hiyo vision 2050 kwenda kutalii huko mashsriki ya mbali kwenda kujifunza main za maendeleo yatakayoiwezesha hiyo vision kufanikiwa!!!
Mimi ningeshsuri kuwa badala ya kutumia mabillioni ya tozo zeta kuwapeleka hawa watu kwenda kutalii, hawa wasomi wa Mpango wanunuliwe vitabu vilivyoandikwa juu ya miracles of development za Nchi hizi za mashariki ya mbali bila kukosekana kitabu kiitwacho" From third world to First; The Singapore Story by LEE KUAN YEW". Kama Mpango kweli anataka hawa watu waelewe mbinu walizotumia wenzetu, ahakikishe kila mmoja wao anasoma kitabu hiki na kuona kama strategies walizotumia kule Singapore viongozi wetu akiwemo yeye Mpango wana rahat it takes to implement them!! Hakuna faida kuwaumiza wananchi kwa topo halafu mnatumia hizo topo kwenda kuwapeleka watu tenu kutalii mkijua wizi nie viongozi hamna utashi/ubavu wa kuchukua maamuzi magumu. Wenzenu Singapore walikuwa hawana mchezo na RUSHWA ; waziri aliyepatikana kuwa alihongwa safari ya mapumziko na tapir mmoja alijikuta yuko jela baada ya kurudu toka hiyo likizo!!! Je nyinyi mnaweza kuchukua hatuakama hizo wakati mawziri wenu kila leo wako DUBAI wakiongozana na wafanya biashara na wengine mpaka wanafanya birthday parties huko New York!
Mpango tafadahari acha mara moja kufuja kodi zeta watu wako wanaweza kujua haya ya mashariki ya mbali wakiwa hapa nyumbani na lap tops zao bila kwenda kutalii.