Naona imekua too much sasa hivi kila jumapili Rashidi, anatumia lile Godauni la ufufuo na uzima kupingana na serikali, naona mpaka sasa yeye ndiye mshindi maana imeonyesha dhahiri serikali inamuogopa na haina hata ubavu wa kupa onyo.
Hivi huko Ufufuo wa Misukule na Uzima hawana Ibada nyingine zaidi ya Covid 19 na Chanjo ? Mimi najua Kanisani ni Mahali pa kwenda kuambiwa ubaya wa Dhambi na kujiandaa Kwa Maisha ya Mbinguni.
sasahivi tuna wizara mbili zinazotoa matamko public juu ya chanjo,
wizara ya Afya na wizara ya ufufuo wa misukule na uzima ila mpaka sasa wizara ya ufufuo wa misukule ndio inanguvu sana