Serikali ya Rais Samia inamuogopa Askofu Gwajima na haina la kumfanya

Serikali ya Rais Samia inamuogopa Askofu Gwajima na haina la kumfanya

Huyo mtu atamsumbua nani?Kishaona matarajio yake hayatakuwa asilani, sasa anatapatapa tu kwa mtaji wa domo lake
 
Nawahurumia tu wateule walio hapo wanaosubiri kunyakuliwa na mwokozi Yesu kristo!
 
Binti/Mwana wa Jezabel tulia. Chanjo ni hiari hivyo pande zote mbili ziko huru kufanya kampeni kisha wananchi tutaamua tumfuate nani. Wewe tulia, chanjo ni hiari, timu zote wataka chanjo na wasio taka chanjo zina haki sawa.

Gwajima amesema hayo kanisani kwake waulize hao Dar Mpya tangu lini mahubiri yananukuliwa kama habari na kwanini wasio taka chanjo wakiongea hadharani ni nongwa ila wanao chanjwa wakipiga picha ni sawa?
 
Binti/Mwana wa Jezabel tulia. Chanjo ni hiari hivyo pande zote mbili ziko huru kufanya kampeni kisha wananchi tutaamua tumfuate nani

Wewe tulia, chanjo ni hiari, timu zote wataka chanjo na wasio taka chanjo zina haki sawa. Gwajima amesema hayo kanisani kwake waulize hao Dar Mpya tangu lini mahubiri yananukuliwa kama habari na kwanini wasio taka chanjo wakiongea hadharani ni nongwa ila wanao chanjwa wakipiga picha ni sawa?
na wewe unasalia kwenye lile godauni la Rashidi?
 
Na hawana lolote la kumfanya Gwajima maana anajua fika hawakushinda kwa Kura.
 
Back
Top Bottom