kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 119
- 240
Baada ya kukwama kwa mradi huu kwa miaka kumi, serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga mradi huo ambao utakua na maduka 2060 na kuzalisha ajira za moja kwa moja zaidi 15000 na zisizo za moja kwa moja 50000. Eneo la mradi huo ni zaidi ya viwanja 10 vya mpira wa miguu.
Mradi huo utakapokamilika Tanzania itakusanya mapato ya TZS trilioni 1.2 kwa mwaka ambazo zitaenda kuwahudumia Watanzania kupitia huduma za kijamii na miradi ya maendeleo. Lengo la serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki.