Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Huyo anakimbilia kutaja huko aende soko la Magomeni Dar halina watu kule juu,asitaje Iringa wala Morogoro.Halafu anaongea uongo yaani stend ya Msamvu iko tupu kweli au stend ya Nyegezi anaijua huyo?hatuwezi ku centralize kila kitu dar , nchi hii ni kubwa na kila pahala Pana watu na wahitaji pia . hivyo kila pahala serikali ilipojenga ni sahihi kabisa. acheni u -chagga gang ambao kila kitu kizuri wanataka kiwe Kilimanjaro.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app