HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Kweli..miradi kama hii ina faida kuliko kujenga maofisi ya anasa ya viongozi.
..viongozi wetu ni wabinafsi sana. Juzi mumeona Igp mstaafu amepewa zawadi ya gari toyota landcruiser V-8. Je, hiyo ni sahihi ktk nchi masikini kama Tanzania?
Mfano mkubwa Stendi ya Dodoma, zile za Mwanza, Iringa, Morogoro hazikupaswa jenga kwa ukubwa ule maana ukienda ziko wazi kuanzia frame hadi magari.
Masoko mengi yako tupu
Ujenzi wa majengo makubwa Dodoma ni hasara