Serikali ya Rais Samia kukamilisha kituo cha biashara Afrika Mashariki

kalacha mateo

Senior Member
Joined
Sep 27, 2021
Posts
119
Reaction score
240
Baada ya kukwama kwa mradi huu kwa miaka kumi, serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga mradi huo ambao utakua na maduka 2060 na kuzalisha ajira za moja kwa moja zaidi 15000 na zisizo za moja kwa moja 50000. Eneo la mradi huo ni zaidi ya viwanja 10 vya mpira wa miguu.

Mradi huo utakapokamilika Tanzania itakusanya mapato ya TZS trilioni 1.2 kwa mwaka ambazo zitaenda kuwahudumia Watanzania kupitia huduma za kijamii na miradi ya maendeleo. Lengo la serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki.

 
Ukisikia USWAHILI Ndio huu.
Na hatukuzoea awamu ya tano.
 
Mkuu mtoa mada usinipotoshe mimi sio zuzu, NI SERIKALI YA CCM NDIO ILIYOFANYA HAYO ULIYOYAANDIKA
 
Andika kwa utulivu..umeandika kishabiki kuliko kitaalamu hivyo taarifa yako kuwa na maswali mengi.
 
Sema kabisa kwamba kitaingiza mapato ya Kodi sh.1.2 Tilioni
 
Hatupo serious..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…