Kweli..miradi kama hii ina faida kuliko kujenga maofisi ya anasa ya viongozi.
..viongozi wetu ni wabinafsi sana. Juzi mumeona Igp mstaafu amepewa zawadi ya gari toyota landcruiser V-8. Je, hiyo ni sahihi ktk nchi masikini kama Tanzania?
Kweli
Mfano mkubwa Stendi ya Dodoma, zile za Mwanza, Iringa, Morogoro hazikupaswa jenga kwa ukubwa ule maana ukienda ziko wazi kuanzia frame hadi magari.
Masoko mengi yako tupu
Ujenzi wa majengo makubwa Dodoma ni hasara
hatuwezi ku centralize kila kitu dar , nchi hii ni kubwa na kila pahala Pana watu na wahitaji pia . hivyo kila pahala serikali ilipojenga ni sahihi kabisa. acheni u -chagga gang ambao kila kitu kizuri wanataka kiwe Kilimanjaro.Kweli
Mfano mkubwa Stendi ya Dodoma, zile za Mwanza, Iringa, Morogoro hazikupaswa jenga kwa ukubwa ule maana ukienda ziko wazi kuanzia frame hadi magari.
Masoko mengi yako tupu
Ujenzi wa majengo makubwa Dodoma ni hasara
Huko mikoani hakuna faidahatuwezi ku centralize kila kitu dar , nchi hii ni kubwa na kila pahala Pana watu na wahitaji pia . hivyo kila pahala serikali ilipojenga ni sahihi kabisa. acheni u -chagga gang ambao kila kitu kizuri wanataka kiwe Kilimanjaro.
Maeneo yote ni yale yale, ila yamejengwa kwa magorofa na sakafu...masoko hayapaswi kuwa matupu.
..Je, kulikuwa hakuna umakini ktk kuchagua eneo la ujenzi wa soko?
..Tunaweza kupiga hatua kubwa ikiwa tutadhibiti upotevu wa mapato na matumizi yasiyo ya lazima.
Mkuu mtoa mada usinipotoshe mimi sio zuzu, NI SERIKALI YA CCM NDIO ILIYOFANYA HAYO ULIYOYAANDIKA
Ok jambo zuriBukoba maana Kagera ndocmkoa uliopakana nchi nyingi za Africa mashariki
Kawaida ya wapigaji wakianza na upumbavu kama huu!Baada ya kukwama kwa mradi huu kwa miaka kumi, serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga mradi huo ambao utakua na maduka 2060 na kuzalisha ajira za moja kwa moja zaidi 15000 na zisizo za moja kwa moja 50000. Eneo la mradi huo ni zaidi ya viwanja 10 vya mpira wa miguu.
Mradi huo utakapokamilika Tanzania itakusanya mapato ya TZS trilioni 1.2 kwa mwaka ambazo zitaenda kuwahudumia Watanzania kupitia huduma za kijamii na miradi ya maendeleo. Lengo la serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki.
View attachment 2639330View attachment 2639330
Kuna kesho,stand unazoona ndogo Leo zilikua kubwa na tupu wakati zinaanzishwaKweli
Mfano mkubwa Stendi ya Dodoma, zile za Mwanza, Iringa, Morogoro hazikupaswa jenga kwa ukubwa ule maana ukienda ziko wazi kuanzia frame hadi magari.
Masoko mengi yako tupu
Ujenzi wa majengo makubwa Dodoma ni hasara
We ni matako ya fisi pori ushaanza ujinga wako wa ukabila mavi yako kenge wewehatuwezi ku centralize kila kitu dar , nchi hii ni kubwa na kila pahala Pana watu na wahitaji pia . hivyo kila pahala serikali ilipojenga ni sahihi kabisa. acheni u -chagga gang ambao kila kitu kizuri wanataka kiwe Kilimanjaro.
Ingekuwa ya kishamba mngejengewa miundo mbinu ? Jengeni hilo soko ili tuwe dampo la bidhaa za China.awamu ya 5 si ilikuwa ya washamba mambo ya kisasa km hayo mtayazoea wapi.
Stand za Dodoma na Masoko kamwe hayatakuja fikia ujazo hata tuwape miaka 100Kuna kesho,stand unazoona ndogo Leo zilikua kubwa na tupu wakati zinaanzishwa
Wanasema biashara juu ya meza haina hasara.Baada ya kukwama kwa mradi huu kwa miaka kumi, serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga mradi huo ambao utakua na maduka 2060 na kuzalisha ajira za moja kwa moja zaidi 15000 na zisizo za moja kwa moja 50000. Eneo la mradi huo ni zaidi ya viwanja 10 vya mpira wa miguu.
Mradi huo utakapokamilika Tanzania itakusanya mapato ya TZS trilioni 1.2 kwa mwaka ambazo zitaenda kuwahudumia Watanzania kupitia huduma za kijamii na miradi ya maendeleo. Lengo la serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki.
View attachment 2639330View attachment 2639330
Yawezekana zimejengwa ubashiri wa miaka mingi mbele, si kwa kuangalia tu wakati wa sasaKweli
Mfano mkubwa Stendi ya Dodoma, zile za Mwanza, Iringa, Morogoro hazikupaswa jenga kwa ukubwa ule maana ukienda ziko wazi kuanzia frame hadi magari.
Masoko mengi yako tupu
Ujenzi wa majengo makubwa Dodoma ni hasara
Hahahah hapo washalamba asali tu wamesaini mkeka. Huo mradi ni mkataba wa wachina na serikali ya Tanzania...miradi kama hii ina faida kuliko kujenga maofisi ya anasa ya viongozi.
..viongozi wetu ni wabinafsi sana. Juzi mumeona Igp mstaafu amepewa zawadi ya gari toyota landcruiser V-8. Je, hiyo ni sahihi ktk nchi masikini kama Tanzania?
Uko sijui Iringa ni km mbali nenda soko la jipya pale Magomeni uone lipo tupu kule juu.Kweli
Mfano mkubwa Stendi ya Dodoma, zile za Mwanza, Iringa, Morogoro hazikupaswa jenga kwa ukubwa ule maana ukienda ziko wazi kuanzia frame hadi magari.
Masoko mengi yako tupu
Ujenzi wa majengo makubwa Dodoma ni hasara
1.Mradi unajengwa ilipokuwa Ubungo terminal mkabala na TBS.Kawaida ya wapigaji wakianza na upumbavu kama huu!
Mradi unajengwa wapi?
Nani ndio wawekezaji?
Kampuni ya nchi gani?...
Blah blah kibao ila mwisho ni wizi mtupu!
Haaaa haaaa best reaction ever