Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Huyo anakimbilia kutaja huko aende soko la Magomeni Dar halina watu kule juu,asitaje Iringa wala Morogoro.Halafu anaongea uongo yaani stend ya Msamvu iko tupu kweli au stend ya Nyegezi anaijua huyo?hatuwezi ku centralize kila kitu dar , nchi hii ni kubwa na kila pahala Pana watu na wahitaji pia . hivyo kila pahala serikali ilipojenga ni sahihi kabisa. acheni u -chagga gang ambao kila kitu kizuri wanataka kiwe Kilimanjaro.
Wachina wameona Tanzania ni njia ya masoko ya Zambia, Rwanda, Burundi, Malawi, DRCHuu ni mradi wa Wachina kwenye ardhi ya Halmashauri ya Ubungo
Hatuwezi kuendelea kwa kupromote imports tungejipa kongole kwa kujenga viwanda na ku export .naona issue ya tanzania ya vi wonder imekufa. Hatuna mipango endelevu.yes litaonekana ni bonge la.dude ila ni dumping heavenhatuwezi ku centralize kila kitu dar , nchi hii ni kubwa na kila pahala Pana watu na wahitaji pia . hivyo kila pahala serikali ilipojenga ni sahihi kabisa. acheni u -chagga gang ambao kila kitu kizuri wanataka kiwe Kilimanjaro.
Hakuna wananchi sindio,mbona soko la Magomeni Dar halina watu kule juu mbona hamsemi?au lile soko la Kijichi kule hadi Rais Samia akawaambia wafanye ukumbi wa harusi wapate pesa.Huko mikoani hakuna faida
Pole Sana kwa upeo finyuStand za Dodoma na Masoko kamwe hayatakuja fikia ujazo hata tuwape miaka 100
Chagga Gang umepigwa za uso umehamaki!We ni matako ya fisi pori ushaanza ujinga wako wa ukabila mavi yako kenge wewe
Tatizo umedandia treni.Hakuna wananchi sindio,mbona soko la Magomeni Dar halina watu kule juu mbona hamsemi?au lile soko la Kijichi kule hadi Rais Samia akawaambia wafanye ukumbi wa harusi wapate pesa.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Wewe umetaja Iringa, Dodoma, Mwanza na Morogoro wakati kunamiradi kibao Dar hapa haina kitu.Halafu serikali haijengi mradi kwakuangalia leo kama unavojenga nyumba yako mnalala vyumba vyote vinajaa inaangalia mbele zaidi.Tatizo umedandia treni.
Mi nilikua naongelea miradi mikubwa yote kwa ujumla haina faida kwa nchi hata tusubiri miaka 50
Mf JNIA kwa sasa inapitisha 3.5ppy, wakati lengo ni 8milppy
Msalato pia unajengwa kwa ukubwa huo huo