johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katiba haitambui kama Rais SSH anamalizia muhula wa hayati Magufuli!Ni ya tano mkuu,kwa kuwa anamalizia tu Magu alipoachia.
Una pweint!subirini ufafanuzi awamu moja haiwezi kushikwa na watu wawili mtu akiondoka awamu imeisha hakuna cha vipindi wala nini
Mwambie Tundu Lisu arudi!
Mwamba unarudiMwambie Tundu Lisu arudi!
Mimi nimemsikiliza mwanasheria aki-clarify kwa hiyo nina uhakika ya ninalosema.Kama huniamini tafuta mwanasheria uhakikishe.Katiba haitambui kama Rais SSH anamalizia muhula wa hayati Magufuli!
Mkuu wanasheria wanasema ni awamu ya tano,ila ni ruksa kugombea akimaliza awamu hii ya Magufuli.Awamu ya sita (maana Samia hata akiamua kugombea baadaye, atagombea 2025). Sababu ni kuwa, mpaka 2025 atakuwa ameshaongoza kwa miaka mi4.