Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ni awamu ya 5 au 6?

Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ni awamu ya 5 au 6?

Baadae waitwe Viongozi wa Dini ili waende kuisafisha na kuitakasa Ikulu yetu

Maana Wachawi kutoka Kanda ya Ziwa walikuwa wameweka kijiwe

Ikawaje wakashindwa kuzuia kifo cha ndugu yao?

Hawa wachawi hawafai kabisa...

Naunga mkono Ikulu ikasafishwe na kutakaswa...
 
Wewe ndio huelewi maana ya awamu. Hii ni awamu ya tano inayokwisha 2025 kilichotokea ni kifo cha rais.

Ilani ya uchaguzi inabakia ile ile, baraza la mawaziri linaweza lote likabaki kuwa lile lile labda rais aone kuna wawili watatu wa kuondolewa.

Awamu ya kwanza 1961 - 1985

Awamu ya pili 1985 - 1995

Awamu ya tatu 1995 - 2005

Awamu ya nne 2005 - 2015

Awamu ya tano 2015 - 2025.

Dereva kaaga dunia imebidi msaidizi aukamate usukani.
Mama samia ni rais wa ngapi?ukinipa jibu utaelewa na pia Rais mpya akiapa viapo vyote lazima vifanyike because viapo walivyoapa waziri Mkuu mawaziri wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya vinakuwa batili sababu waliapa kwa Rais mwingine na huyu pia viongozi wake lazima waape kwake Baraza la Mawaziri ni lazima livunjwe waape upya kama wakuu wa mikoa wilaya pia lazima waape kupitia yeye
 
Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini.

Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6?

Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani raisi wa awamu ya 5 yupo wapi?
 
Kalamu nyeusi au nyekundu, Mh. Rais Samia Suluhu Hassan akumbusha yeye ni Rais hivyo aletewe kalamu sahihi.

Hapo zamani za kale ingeshakuwa nongwa na huyo aliyeleta hiyo kalamu tayar ingekuwa nje zamani. Mama ambariki sana huyu mama ana busara, hekima na utu. Pia ana hofu ya Mungu
 
Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini.

Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6?

Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile.

Maendeleo hayana vyama!
Kwanza niambieni je nayeye atateuwa wabunge 10 na je walewalioteuliwa inakuaje?na kama hatateuwa madaraka yake yatakuwa yamekamelika
 
Mh rais anaruhusiwa kuteua wabunge 10 kikatiba kama mtangulizi wake kama ndio vipikuhusu wale wamtangulizi wake? Kama hapana madaraka yake yanakua yameshuka kidogo? Nijibiwe kikatiba tafadhali
 
Mwongo mkubwa acha kudanganya umma bado ni awamu ya tano,awamu ni two terms miaka kumi!
So rais wa sita awamu ya tano!
Unasema awamu ni miaka kumi, je 2020 Hashim rungwe angeshinda uchafuzi bado tungeita ni awamu ya tano? Kama awamu ni miaka kumi basi mwinyi ni rais wa awamu ya tatu make nyerere alitawala miaka 24.
 
Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini.

Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6?

Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile.

Maendeleo hayana vyama!
Awamu inabadilika na kubadilika kwa rais. Kwa mfano utawala wa Mwinyi alipomrithi Mwalimu, ulisemwa kuwa awamu ya pili katika miaka mitano ya kwanza. Awamu hiyo ilibakia kuwa ya pili katika miaka mitano iliyofuatia. vivyo hivyo kwa Mkapa na Kikwete. Kwa hiyo awamu inabadilika na ujio wa rais mwingine. Siyo kwa kumaliza ngwe ya utawala.
 
Awamu ni ile ile ya tano. Baada ya dereva wa kwanza kuaga dunia sasa tunae dereva wa pili. Ilani ni ile ile inayoendelea kufanyiwa kazi.
Hapana sio kweli hii ni awamu ya sita kutokana na muda uliobakia ni zaidi ya miaka 3!!ingekuwa imebakia chini ya miaka 3, samia angemalizia tu awamu hiyo ya tano, sasa na yeye ndio kama angegombea tena , ndio ingehesabika anaanza awamu ya sita na kwake , ndio ingekuwa muhula wake wa kwanza.lakini sasa anahesabika tayari ameanza muhula wake wa kwanza.
 
Usipotoshe umma mkuu ulichoandika kakifanyie kazi alafu uandike upya.
kaangaie list ya marais wa zanzibar halafu uone kama Mwinyi Jr sio Rais wa awamu ya nane ndo itakusaidia kujua kuwa Mh. Samia Suluhu ni Rais wa awamu ya Sita na si ya tano kama mnavyopotosha
 
Mwongo mkubwa acha kudanganya umma bado ni awamu ya tano,awamu ni two terms miaka kumi!
So rais wa sita awamu ya tano!
unasema awamu ni miaka kumi (two terms) so Nyerere aliyekaa miaka 24 alkua Rais wa awamu ya kwanza na ya pili, so basi hata JPM hakua Rais wa awamu ya tano kama ndo hivyo, jichunguze vzr uelewa wako kaka
 
Hiii ni awamu ya ngapi jamani? Maana napata utata nasikia watu wakisema ni awamu ya tano raisi wa sita wengine awamu ya sita raisi wa sita sasa hapa kuna mkanganyiko kidogo Kama Kuna mwenye ufafanuzi atuelezee kwa mapama yake
 
Kwa Utamaduni wa CCM watakwambia hii ni awamu ya 5. Kwa mantiki kwamba SSH anamshikia Urais, anammalizia kipande kilichobaki.
 
Back
Top Bottom