Mwongo mkubwa acha kudanganya umma bado ni awamu ya tano,awamu ni two terms miaka kumi!Ninavyojua ni Awamu ya Sita, maana awamu inaenda na Rais mwenyewe japo awamu yake imeanzia njiani kumalizia alipoachia JPM, ni kama Zanizibar alivyofariki Karume Jumbe alkua Rais wa awamu ya pili na sio ile ie ya kwanza.
Huyo mwanasheria ni tangoMimi nimemsikiliza mwanasheria aki-clarify kwa hiyo nina uhakika ya ninalosema.Kama huniamini tafuta mwanasheria uhakikishe.
yaani wamegoma kabisa kuvaa barakoaKalamu nyeusi au nyekundu, Mh. Rais Samia Suluhu Hassan akumbusha yeye ni Rais hivyo aletewe kalamu sahihi....
Kwani wewe ni mwanasheria?Kama huyo ni tangoo,tafuta unayemuamini wewe umuulize.Confirm.Huyo mwanasheria ni tango
On Point.Awamu ya tano ila rais ni wa sita
Mkuu kumbe nawe kilaza sio!??subirini ufafanuzi awamu moja haiwezi kushikwa na watu wawili mtu akiondoka awamu imeisha hakuna cha vipindi wala nini
Inatambua. Soma vizuri.Katiba haitambui kama Rais SSH anamalizia muhula wa hayati Magufuli!
Jambo dogo unauliza hiyo ni two in one hata akifa yeye akaja wa 3 bado itakuwa three in one.Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini....
Hawamu ni ya urais hau Rais?Mkuu wanasheria wanasema ni awamu ya tano,ila ni ruksa kugombea akimaliza awamu hii ya Magufuli.
Hapana hawamu siyo lazima iwe miaka kumi, let's say magufuli angeshindwa na lipumba 2020 bado lipumba angeitwa Rais wa awamu ya tano?M
Mwongo mkubwa acha kudanganya umma bado ni awamu ya tano,awamu ni two terms miaka kumi!
So rais wa sita awamu ya tano!
Duh!Inatambua. Soma vizuri.
"Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano..."
Rais (wa awamu) ni yule aliyechaguliwa na wananchi.
Ingekuwa chini ya miaka 3 ndio mama Samia angemalizia ya Magufuli kisha kuwa na fursa ya mihula yake miwili ya 5 na 5 tena!Case Closed.
Huyo ni Rais wa Pili wa Awamu ya Tano na lazima atekeleze Ilani ya Chama chake ila anaweza kuleta mbinu yake ya utekelezaji (Management Style), mfano: Mtangulizi alikuwa anazunguka na mabulungutu ya fedha za Serikali kuwasaidia wanyonge lakini kwenye Mkutano wa maelfu ya watu alikuwa anasaidia mmoja tu anayemfikia kumbe palepale kuna mamia ya wenye shida kama za aliyenufaika au wenye shida kubwa zaidi au kununua Jogoo Sh. Laki kumbe kuna Mkulima hapohapo ana Jogoo mkubwa zaidi lakini angetatua tatizo lake angempata mnunuzi wa kumpa Sh. 5'000 ampeleke mtoto wake shule. Mfano mzuri: Zanzibar wazee wote wa umri wa miaka 60 au zaidi wanalipwa Pensheni na Serikali haijalishi ulikuwa Mtumishi, Mkulima, Mvuvi, Mzururaji nk lakini Bara hata Watumishi wengi wanakufa wakidai Mafao yao ingawa kuna Sera na Wizara ya Wazee toka Awamu ya Tatu. Management Style ya Rais mzuri inaangalia Nchi nzimà na vilivyomo!Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini.
Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6?
Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile.
Maendeleo hayana vyama!