The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Baadae waitwe Viongozi wa Dini ili waende kuisafisha na kuitakasa Ikulu yetu
Maana Wachawi kutoka Kanda ya Ziwa walikuwa wameweka kijiwe
Mama samia ni rais wa ngapi?ukinipa jibu utaelewa na pia Rais mpya akiapa viapo vyote lazima vifanyike because viapo walivyoapa waziri Mkuu mawaziri wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya vinakuwa batili sababu waliapa kwa Rais mwingine na huyu pia viongozi wake lazima waape kwake Baraza la Mawaziri ni lazima livunjwe waape upya kama wakuu wa mikoa wilaya pia lazima waape kupitia yeyeWewe ndio huelewi maana ya awamu. Hii ni awamu ya tano inayokwisha 2025 kilichotokea ni kifo cha rais.
Ilani ya uchaguzi inabakia ile ile, baraza la mawaziri linaweza lote likabaki kuwa lile lile labda rais aone kuna wawili watatu wa kuondolewa.
Awamu ya kwanza 1961 - 1985
Awamu ya pili 1985 - 1995
Awamu ya tatu 1995 - 2005
Awamu ya nne 2005 - 2015
Awamu ya tano 2015 - 2025.
Dereva kaaga dunia imebidi msaidizi aukamate usukani.
Kwani raisi wa awamu ya 5 yupo wapi?Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini.
Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6?
Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile.
Maendeleo hayana vyama!
Kalamu nyeusi au nyekundu, Mh. Rais Samia Suluhu Hassan akumbusha yeye ni Rais hivyo aletewe kalamu sahihi.
Baraza kubwa sana!
Kwanza niambieni je nayeye atateuwa wabunge 10 na je walewalioteuliwa inakuaje?na kama hatateuwa madaraka yake yatakuwa yamekamelikaNaomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini.
Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6?
Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile.
Maendeleo hayana vyama!
Unasema awamu ni miaka kumi, je 2020 Hashim rungwe angeshinda uchafuzi bado tungeita ni awamu ya tano? Kama awamu ni miaka kumi basi mwinyi ni rais wa awamu ya tatu make nyerere alitawala miaka 24.Mwongo mkubwa acha kudanganya umma bado ni awamu ya tano,awamu ni two terms miaka kumi!
So rais wa sita awamu ya tano!
Awamu inabadilika na kubadilika kwa rais. Kwa mfano utawala wa Mwinyi alipomrithi Mwalimu, ulisemwa kuwa awamu ya pili katika miaka mitano ya kwanza. Awamu hiyo ilibakia kuwa ya pili katika miaka mitano iliyofuatia. vivyo hivyo kwa Mkapa na Kikwete. Kwa hiyo awamu inabadilika na ujio wa rais mwingine. Siyo kwa kumaliza ngwe ya utawala.Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini.
Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6?
Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile.
Maendeleo hayana vyama!
Hapana sio kweli hii ni awamu ya sita kutokana na muda uliobakia ni zaidi ya miaka 3!!ingekuwa imebakia chini ya miaka 3, samia angemalizia tu awamu hiyo ya tano, sasa na yeye ndio kama angegombea tena , ndio ingehesabika anaanza awamu ya sita na kwake , ndio ingekuwa muhula wake wa kwanza.lakini sasa anahesabika tayari ameanza muhula wake wa kwanza.Awamu ni ile ile ya tano. Baada ya dereva wa kwanza kuaga dunia sasa tunae dereva wa pili. Ilani ni ile ile inayoendelea kufanyiwa kazi.
kaangaie list ya marais wa zanzibar halafu uone kama Mwinyi Jr sio Rais wa awamu ya nane ndo itakusaidia kujua kuwa Mh. Samia Suluhu ni Rais wa awamu ya Sita na si ya tano kama mnavyopotoshaUsipotoshe umma mkuu ulichoandika kakifanyie kazi alafu uandike upya.
unasema awamu ni miaka kumi (two terms) so Nyerere aliyekaa miaka 24 alkua Rais wa awamu ya kwanza na ya pili, so basi hata JPM hakua Rais wa awamu ya tano kama ndo hivyo, jichunguze vzr uelewa wako kakaMwongo mkubwa acha kudanganya umma bado ni awamu ya tano,awamu ni two terms miaka kumi!
So rais wa sita awamu ya tano!
Mleta mada una swali?Ya tano
RAIS wa sita