figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Serikali imesema kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026 imetaifisha mali mbalimbali zilizopatikana kwa njia ya uhalifu.
Mali hizo ni pamoja na fedha taslimu TZS bilioni 2.9, dola za Marekani 903,875, hati fungani tatu zilizopo Benki Kuu zenye thamani ya TZS milioni 490, nyumba na viwanja 46, magari 64, dhahabu pamoja na meno manne ya tembo.
MY TAKE
Serikali ya Ssamia iache janja janja. Mtu anahangaika kuotafuta hela, halafu hela inaitwa ya Uhalifu inabebwa..
Wakiona kama unaunga mkono vyama vya upinzani, wanakuwonda na kukutafutia sababu. Kosha wanasema hela zako ni za uhalifu.
Au unataka tukufungulie kesi ya uhujumu uchumi?
Vitisho vimezidi. Ndo maana watu hela zao wanaficha nje ya Nchi sababu CCM wakina akaunti yako imenona, wanaona ni Ulaji.. Lazima iwindwe labla iwe inachnagia harambee za CCM ndo watakuonea aibu.
Hadi hati fungani?! 🤣🤣🤣
Lipeni hela za watu. Unyang'anyi wa kutumia vyeo.
Lpia, soma: www.jamiiforums.com/threads/nmb-bank-account-no-31110007120-jina-deogratius-pio-kisandu-civilian-coin-tawi-kenyetta-mwanza-cheque-no-110838109-pesa-zote-zimetaifishwa.2452566