figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Pesa haina kosa mkuu, kuichoma ni kuionea.Hivi kama hela imepatikana kwa njia ya uhalifu kwa nini inataifishwa? Kwa nini isichomwe tu moto?
Wajuzi mnisaidie katika hili.
Sasa nimeelewa. Asante mkuu.P
Pesa haina kosa mkuu, kuichoma ni kuionea.
Pia pesa ni mali ya serikali inapatika kwa gharama ndio maana inapaswa kutunzwa
AbabHivi kama hela imepatikana kwa njia ya uhalifu kwa nini inataifishwa? Kwa nini isichomwe tu moto?
Wajuzi mnisaidie katika hili.
Nadhani huwa inarudishwa kwenye mzunguko.wa umma kwasababu umma ndio ulitendewa uhalifu.Hivi kama hela imepatikana kwa njia ya uhalifu kwa nini inataifishwa? Kwa nini isichomwe tu moto?
Wajuzi mnisaidie katika hili.
Ameanza kufuata kama ya mtangulizi wake.Serikali imesema kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026 imetaifisha mali mbalimbali zilizopatikana kwa njia ya uhalifu.
Mali hizo ni pamoja na fedha taslimu TZS bilioni 2.9, dola za Marekani 903,875, hati fungani tatu zilizopo Benki Kuu zenye thamani ya TZS milioni 490, nyumba na viwanja 46, magari 64, dhahabu pamoja na meno manne ya tembo.
MY TAKE
Serikali ya Ssamia iache janja janja. Mtu anahangaika kuotafuta hela, halafu hela inaitwa ya Uhalifu inabebwa..
Wakiona kama unaunga mkono vyama vya upinzani, wanakuwonda na kukutafutia sababu. Kosha wanasema hela zako ni za uhalifu.
Au unataka tukufungulie kesi ya uhujumu uchumi?
Vitisho vimezidi. Ndo maana watu hela zao wanaficha nje ya Nchi sababu CCM wakina akaunti yako imenona, wanaona ni Ulaji.. Lazima iwindwe labla iwe inachnagia harambee za CCM ndo watakuonea aibu.
Hadi hati fungani?! 🤣🤣🤣
Lipeni hela za watu.
Uhalifu upi? Unaujua? Hizo hela zimepatikana kwenye uhalifu upi? Achana na meno ya temboNadhani huwa inarudishwa kwenye mzunguko.wa umma kwasababu umma ndio ulitendewa uhalifu.
Inaenda kufanya matumizi mengine, mfano; posho n.kHivi kama hela imepatikana kwa njia ya uhalifu kwa nini inataifishwa? Kwa nini isichomwe tu moto?
Wajuzi mnisaidie katika hili.
Pembe za ndovu je?P
Pesa haina kosa mkuu, kuichoma ni kuionea.
Pia pesa ni mali ya serikali inapatika kwa gharama ndio maana inapaswa kutunzwa
Niliye mjibu aliuliza kuhusu pesaPembe za ndovu je?
Ohh, kumbe!Nadhani hurudishwa kwenye mzunguko wa umma kwad
Abab
Nadhani huwa inarudishwa kwenye mzunguko.wa umma kwasababu umma ndio ulitendewa uhalifu.
Hata Nyerere alitaifisha nyumba za Wahindi Kariakoo, Mnazi Mmoja na Kisutu japo hawakuwa waharifu. Rais anaweza kuamua kufanya chochote na hela zilizopo bank. Hapo hela washaziita chafu.. Ili wapate uhalali wa kuzichukuaKesi ya hizo pesa ipo mahakama gani na hukumu ilitolewa lini?
Asante mjuzi, nimekuelewa.Inaenda kufanya matumizi mengine, mfano; posho n.k
watupe na matumizi yakeHivi kama hela imepatikana kwa njia ya uhalifu kwa nini inataifishwa? Kwa nini isichomwe tu moto?
Wajuzi mnisaidie katika hili.
Mashariki ya kati kumechangamkaAsante mjuzi, nimekuelewa.
Vyema kabisa. Waseme hiyo hela inakwenda kufanya kitu gani.watupe na matumizi yake
Yes, Iran inawadinya mashosti wawili; Israel na USA 😎Mashariki ya kati kumechangamka