Serikali ya Samia imefulia? Imeanza kujibebea fedha za Wananchi zilizopo Benki. Eti inataifisha

Yaani bil 2 unaona ni pesa ya maana kwa serikali??? Dah
 
Nadhani hurudishwa kwenye mzunguko wa umma kwad

Abab

Nadhani huwa inarudishwa kwenye mzunguko.wa umma kwasababu umma ndio ulitendewa uhalifu.
Vp kuhusu ganja,meno ya tembo madawa ya kulevya na nyara huwa zinarudishwa kwa umma?
 
Yale yale ya Magufuli kuiba Bureu de Change zote za Arusha akitumia Jeshi la Wananchi
 
Mali hizo ni pamoja na fedha taslimu TZS bilioni 2.9, dola za Marekani 903,875, hati fungani tatu zilizopo Benki Kuu zenye thamani ya TZS milioni 490, nyumba na viwanja 46, magari 64, dhahabu pamoja na meno manne ya tembo.
Duuh,
Huo ni unyang'anyi:
Viiwanja, nyumba, magari, hati fungani.. hatari sana
 
Nani anaeidhinisha kuwa hiyo pesa ni ya uhalifu?

Vigezo gani vinahalalisha uidhinishwaji wa uhalifu wa fedha hiyo?

Kuna ithibati gani kuwa kiasi kinachosemwa kimeitafishwa, ndio kihasi halisi kilichotaifishwa?
 
Samia anarudia makosa aliyokuwa anafanya Magufuli. Kuwafunga na kuwapoteza wapinzani wake, kufungia mikutano za kisisa-Waziri Katambi alitamka hadharani, kufunga wapinzani wake kisiasa kwa kesi za uongo -Mbowe & Lissu, kufungia vyombo vya habari mf. Mwananchi, Jambo TV & JF, kuzima mitandaoni za kijamii, kupora fedha za wafanyabiashara kwa sababu zisizo eleweka . Aendeleze maovu kazi ni kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…