OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Awamu ya Magufuli kidogo watumishi wa serikali walishaanza kuogopa. Nidhamu na customer care ilikuwepo kwa kiwango fulani. Kwa hiki nampongeza Magufuli.
Awamu hii ya sita hali inatisha. Ofisi za umma zinanuia uvundo wa rushwa. Kuanzia boss mpaka msaidizi wa ofisi wote wanaweza kirushwa-rushwa tu. Rushwa ya huku chini kwa watoa huduma inachochewa na viongozi huko serikali kuu. Wanaona viongozi wao wanachota mahela kwa nini na wao wasichoke.
Nakupa mfano mdogo ofisi za Ardhi Jiji la Dodoma. Nenda pale kushughulikie suala la ardhi. Kwao mteja ni fursa ya rushwa. Kama unafuatilia hati gharama haizidi 50,000 lakini utafutalia mwaka mzima na hutatoboa kwa sababu faili lako litatelekezwa. Lakini wana kiwango chao cha rushwa 150,000 unapata hati ndani ya mwezi. Hii inafanyika bila kificho. Na hiyo sio ya mtu mmoja inakuwa ni chain wanagawana watu kadhaa watakaoshughulikia issue yako.
Hii ipo nchi nzima kwa watu wa ardhi, Ili upate huduma kwa wakati lazima umuone pembeni.
Hapo ni kwenye upande wa ardhi. Idara/kada zingine zinazoona zina haki ya kupewa rushwa ni:
✅Polisi
✅Wahudumu wa Afya
✅Watumishi wa Mahakama
✅Maafisa Utumishi