Enthusiastic
Senior Member
- Dec 21, 2023
- 109
- 256
Duh!Wewe unataka uhame kwenda wapi? Toa rushwa Kwa nini ukimbie Kituo ulichopangiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Wewe unataka uhame kwenda wapi? Toa rushwa Kwa nini ukimbie Kituo ulichopangiwa?
Mlimuita jiwe nyoka mkome kabisaAwamu hii mwenye pesa ndiyo anapewa kipaumbele
T.R.AAwamu ya Magufuli kidogo watumishi wa serikali walishaanza kuogopa. Nidhamu na customer care ilikuwepo kwa kiwango fulani. Kwa hiki nampongeza Magufuli.
Awamu hii ya sita hali inatisha. Ofisi za umma zinanuia uvundo wa rushwa. Kuanzia boss mpaka msaidizi wa ofisi wote wanaweza kirushwa-rushwa tu. Rushwa ya huku chini kwa watoa huduma inachochewa na viongozi huko serikali kuu. Wanaona viongozi wao wanachota mahela kwa nini na wao wasichoke.
Nakupa mfano mdogo ofisi za Ardhi Jiji la Dodoma. Nenda pale kushughulikie suala la ardhi. Kwao mteja ni fursa ya rushwa. Kama unafuatilia hati gharama haizidi 50,000 lakini utafutalia mwaka mzima na hutatoboa kwa sababu faili lako litatelekezwa. Lakini wana kiwango chao cha rushwa 150,000 unapata hati ndani ya mwezi. Hii inafanyika bila kificho. Na hiyo sio ya mtu mmoja inakuwa ni chain wanagawana watu kadhaa watakaoshughulikia issue yako.
Hii ipo nchi nzima kwa watu wa ardhi, Ili upate huduma kwa wakati lazima umuone pembeni.
Hapo ni kwenye upande wa ardhi. Idara/kada zingine zinazoona zina haki ya kupewa rushwa ni:
✅Polisi
✅Wahudumu wa Afya
✅Watumishi wa Mahakama
✅Maafisa Utumishi
Alisema mtanikumbukaAwamu ya Magufuli kidogo watumishi wa serikali walishaanza kuogopa. Nidhamu na customer care ilikuwepo kwa kiwango fulani. Kwa hiki nampongeza Magufuli.
Awamu hii ya sita hali inatisha. Ofisi za umma zinanuia uvundo wa rushwa. Kuanzia boss mpaka msaidizi wa ofisi wote wanaweza kirushwa-rushwa tu. Rushwa ya huku chini kwa watoa huduma inachochewa na viongozi huko serikali kuu. Wanaona viongozi wao wanachota mahela kwa nini na wao wasichoke.
Nakupa mfano mdogo ofisi za Ardhi Jiji la Dodoma. Nenda pale kushughulikie suala la ardhi. Kwao mteja ni fursa ya rushwa. Kama unafuatilia hati gharama haizidi 50,000 lakini utafutalia mwaka mzima na hutatoboa kwa sababu faili lako litatelekezwa. Lakini wana kiwango chao cha rushwa 150,000 unapata hati ndani ya mwezi. Hii inafanyika bila kificho. Na hiyo sio ya mtu mmoja inakuwa ni chain wanagawana watu kadhaa watakaoshughulikia issue yako.
Hii ipo nchi nzima kwa watu wa ardhi, Ili upate huduma kwa wakati lazima umuone pembeni.
Hapo ni kwenye upande wa ardhi. Idara/kada zingine zinazoona zina haki ya kupewa rushwa ni:
✅Polisi
✅Wahudumu wa Afya
✅Watumishi wa Mahakama
✅Maafisa Utumishi
Kama yote hayo yanafanyika yetAwamu ya Magufuli kidogo watumishi wa serikali walishaanza kuogopa. Nidhamu na customer care ilikuwepo kwa kiwango fulani. Kwa hiki nampongeza Magufuli.
Awamu hii ya sita hali inatisha. Ofisi za umma zinanuia uvundo wa rushwa. Kuanzia boss mpaka msaidizi wa ofisi wote wanaweza kirushwa-rushwa tu. Rushwa ya huku chini kwa watoa huduma inachochewa na viongozi huko serikali kuu. Wanaona viongozi wao wanachota mahela kwa nini na wao wasichoke.
Nakupa mfano mdogo ofisi za Ardhi Jiji la Dodoma. Nenda pale kushughulikie suala la ardhi. Kwao mteja ni fursa ya rushwa. Kama unafuatilia hati gharama haizidi 50,000 lakini utafutalia mwaka mzima na hutatoboa kwa sababu faili lako litatelekezwa. Lakini wana kiwango chao cha rushwa 150,000 unapata hati ndani ya mwezi. Hii inafanyika bila kificho. Na hiyo sio ya mtu mmoja inakuwa ni chain wanagawana watu kadhaa watakaoshughulikia issue yako.
Hii ipo nchi nzima kwa watu wa ardhi, Ili upate huduma kwa wakati lazima umuone pembeni.
Hapo ni kwenye upande wa ardhi. Idara/kada zingine zinazoona zina haki ya kupewa rushwa ni:
✅Polisi
✅Wahudumu wa Afya
✅Watumishi wa Mahakama
✅Maafisa Utumishi
Nyumbu hajawahi kujielewaNyumbu anaye jielewa vs chawa.
Yaani nibora kuwa nyoka kuliko chawa ambaye anafaidika na ufisadi wa walala hoi
Daah, Polisi kituo cha Sitakishari wanapiga simu kabisa kuwaomba rushwa ndugu wa mtuhumiwa wanayemshikilia, yaani bila aibu wanataja kabisa wanataka shilingi laki mbiliIdara/kada zingine zinazoona zina haki ya kupewa rushwa ni:
✅Polisi
Mkuu umeifunga mada.watu wanaongoza kulingana na upepo, ukiwa mkali unaambiwa Mama apendi ukali
unataka wafanyaje
Sasa kama vuingozu huko juu wanacheza faulo wanachota mihela wa huku chini nao lZima watakula naoIanze kampeni rasmi ya kukataa rushwa kwa kuwalipua walarushwa,popote uonapo tukio la rushwa lichukue na ulipandishe kwa jukwaa miezi mitatu ni mingi rushwa inakoma.
Bado nafasi ipo tuungane pamoja,ushindi ni wetuSasa kama vuingozu huko juu wanacheza faulo wanachota mihela wa huku chini nao lZima watakula nao
Ova
Hayo yote uliyosema ni bure kama serikali inalea mafisadi.Fedha zote zinazopatikana zinaishia kwenye mifuko ya mafisadi na kunakuwa hakuna unafuu wowote kwa wananchi.Hali hii hupelekea wananchi kuichukia serikali na kutaka kuiondoa madarakani.Na wakati huu wananchi wako serious kuiondoa ccm madarakani na Mwenyezi-Mungu yuko upande wa wananchi kuhakikisha haki inashinda na sio rushwa.Kama yote hayo yanafanyika yet
1.Maelfu ya Watoto wa maskini wanapata Ajira
2.Maelgfu ya miradi.kila Kona
3.Maelfu ya wakulima wanafurahia bei nzuri za mazao
4.Maelfu ya biashara Mpya zinafunguliwa
5.Maelfu wa Watalii wanamiminika pamoja na Mikutano mikubwa ya kikanda.
6.Mamia ya Watanzania wanachaguliwa Kuongoza taasisi za Kimataifa Kwa sababu ya diplomasia nzuri ya Rais Samia
Sasa Kuna faida gani ya hayo kutokuwepo ikiwa
-Vyuma kukaza biashara hakuna
-Wafanyabiasha kuporwa
-Bei za mazao ya wakima kuporomoka
-Kukosa Ajira
-Majizi wachache kujinufaisha in the name of Uzalendo 😂😂
Pk ngoma yule kiongozi banaNadhani tuingie ubia na Rwanda Kagame atuongoze miezi sita kisha atuache tuendelee,
Yanakuaje Bure kama watu wananufaika? 🤣🤣Hayo yote uliyosema ni bure kama serikali inalea mafisadi.Fedha zote zinazopatikana zinaishia kwenye mifuko ya mafisadi na kunakuwa hakuna unafuu wowote kwa wananchi.Hali hii hupelekea wananchi kuichukia serikali na kutaka kuiondoa madarakani.Na wakati huu wananchi wako serious kuiondoa ccm madarakani na Mwenyezi-Mungu yuko upande wa wananchi kuhakikisha haki inashinda na sio rushwa.
Nyumbu hajawahi kujielewa