Serikali ya Samia inanuka rushwa: Orodha ya Idara zinazoona zina haki ya kupewa rushwa

Nyakati za Mwendazake watumishi walinyoka kwelikweli kuna kipindi nikwenda Kituo cha Afya Mlandizi nikapokewa km mfalme.. baada ya matibabu wakaniuliza km nina mahala pa kulala km la wanipe kitanda maana ilikuwa usiku nilipata ajali ya pikipiki nipata jeraha kidogo mguu nikitoka shambani Kitonga.. muda wote walinihofia wakidhani ni mtu wa system nimekvja kuwatega.. Utawala wa yule jamaa huduma zilitolewa vizuri sn..
Enzi hizo: "Mzee, shikamoo. Tukusaidie nini?". Leo "Mzee una shida gani? Kama ni masuala ya pesheni yako subiri rudi baada ya miezi mitatu".
 
We need a leadership tone ya kukemea haya. Ila inasikitisha sana hawa wakurugenzi wanaopewa kuendesha na kusimamia hizo taasisi.

Haihitaji mpaka rais awe mkali ndiyo kila mtu afanye kazi. Wakuu wote wa taasisi waweke “tone” ya kiuongozi watu waache huo ujinga.
Kama mkuu wa nchi anadiriki kusema hadharani kuwa kila mmoja ale usawa wa kamba yake, huyo mkuu wa taasisi anapata wapi nguvu ya kukemea Rushwa?
 
Mkuu, uadilifu hauhitaji kuiga nani anafanya nini! Hii ndio shida waliyonayo walio wengi. Kisa fulani ni mwizi na mla rushwa basi inampa uhalali kila mtu kufanya hivyo.

Tunahitaji watu wajue ipo siku kila mtu atasimama kwa nafasi yake kujitetea.
 
Awamu ya Magufuli kidogo watumishi wa serikali walishaanza kuogopa. Nidhamu na customer care ilikuwepo kwa kiwango fulani. Kwa hiki nampongeza Magufuli.

Awamu hii ya sita hali inatisha. Ofisi za umma zinanuia uvundo wa rushwa. Kuanzia boss mpaka msaidizi wa ofisi wote wanaweza kirushwa-rushwa tu. Rushwa ya huku chini kwa watoa huduma inachochewa na viongozi huko serikali kuu. Wanaona viongozi wao wanachota mahela kwa nini na wao wasichoke.

Nakupa mfano mdogo ofisi za Ardhi Jiji la Dodoma. Nenda pale kushughulikie suala la ardhi. Kwao mteja ni fursa ya rushwa. Kama unafuatilia hati gharama haizidi 50,000 lakini utafutalia mwaka mzima na hutatoboa kwa sababu faili lako litatelekezwa. Lakini wana kiwango chao cha rushwa 150,000 unapata hati ndani ya mwezi. Hii inafanyika bila kificho. Na hiyo sio ya mtu mmoja inakuwa ni chain wanagawana watu kadhaa watakaoshughulikia issue yako.

Hii ipo nchi nzima kwa watu wa ardhi, Ili upate huduma kwa wakati lazima umuone pembeni.
Hapo ni kwenye upande wa ardhi. Idara/kada zingine zinazoona zina haki ya kupewa rushwa ni:
✅Polisi
✅Wahudumu wa Afya
✅Watumishi wa Mahakama
✅Maafisa Utumishi
Haya madudu CHAWA mwandamizi, CHAWA lialia Lucas Mwashambwa anayaona kama ni kivutio kwa wageni
 
Mimi nimeona awamu kuanzia ya mwinyi Hadi ya sasa.kati ya awamu iliyokithiri Kwa rushwa kuliko awamu zote ni awamu ya sita
 
ChoiceVariable

Machawa nyooni mfanye utetezi kwa madisadi wawepe chenji za wizi wa kodi za walala hoi. Badala ya kutoa hoja watakuja na maswali ya kipuuzi

Kwani rushwa imeenza na Mama Samia?
Tanzania ni nchi ya chini kwa rushwa EA!

😂😂🤦🏾‍♂️
 
Awamu ya Magufuli kidogo watumishi wa serikali walishaanza kuogopa. Nidhamu na customer care ilikuwepo kwa kiwango fulani. Kwa hiki nampongeza Magufuli.

Awamu hii ya sita hali inatisha. Ofisi za umma zinanuia uvundo wa rushwa. Kuanzia boss mpaka msaidizi wa ofisi wote wanaweza kirushwa-rushwa tu. Rushwa ya huku chini kwa watoa huduma inachochewa na viongozi huko serikali kuu. Wanaona viongozi wao wanachota mahela kwa nini na wao wasichoke.

Nakupa mfano mdogo ofisi za Ardhi Jiji la Dodoma. Nenda pale kushughulikie suala la ardhi. Kwao mteja ni fursa ya rushwa. Kama unafuatilia hati gharama haizidi 50,000 lakini utafutalia mwaka mzima na hutatoboa kwa sababu faili lako litatelekezwa. Lakini wana kiwango chao cha rushwa 150,000 unapata hati ndani ya mwezi. Hii inafanyika bila kificho. Na hiyo sio ya mtu mmoja inakuwa ni chain wanagawana watu kadhaa watakaoshughulikia issue yako.

Hii ipo nchi nzima kwa watu wa ardhi, Ili upate huduma kwa wakati lazima umuone pembeni.
Hapo ni kwenye upande wa ardhi. Idara/kada zingine zinazoona zina haki ya kupewa rushwa ni:
✅Polisi
✅Wahudumu wa Afya
✅Watumishi wa Mahakama
✅Maafisa Utumishi
Ongezea hii: Asilimia 99 ya watumishi wa umma kama TAMISEMI wamepata uhamisho kwa kutoa rushwa. Bila rushwa utazungushwa hadi utakata tamaa. Hii serikali imelea sana rushwa bora enzi ya yule Mzinza
 
Sasa kwani wewe Kumuona mtu pembeni kuna shida gani?

Mwisho huo ni urasimu sio rushwa 👇👇
Screenshot_20250206-222721.jpg
 
Awamu ya Magufuli kidogo watumishi wa serikali walishaanza kuogopa. Nidhamu na customer care ilikuwepo kwa kiwango fulani. Kwa hiki nampongeza Magufuli.

Awamu hii ya sita hali inatisha. Ofisi za umma zinanuia uvundo wa rushwa. Kuanzia boss mpaka msaidizi wa ofisi wote wanaweza kirushwa-rushwa tu. Rushwa ya huku chini kwa watoa huduma inachochewa na viongozi huko serikali kuu. Wanaona viongozi wao wanachota mahela kwa nini na wao wasichoke.

Nakupa mfano mdogo ofisi za Ardhi Jiji la Dodoma. Nenda pale kushughulikie suala la ardhi. Kwao mteja ni fursa ya rushwa. Kama unafuatilia hati gharama haizidi 50,000 lakini utafutalia mwaka mzima na hutatoboa kwa sababu faili lako litatelekezwa. Lakini wana kiwango chao cha rushwa 150,000 unapata hati ndani ya mwezi. Hii inafanyika bila kificho. Na hiyo sio ya mtu mmoja inakuwa ni chain wanagawana watu kadhaa watakaoshughulikia issue yako.

Hii ipo nchi nzima kwa watu wa ardhi, Ili upate huduma kwa wakati lazima umuone pembeni.
Hapo ni kwenye upande wa ardhi. Idara/kada zingine zinazoona zina haki ya kupewa rushwa ni:
✅Polisi
✅Wahudumu wa Afya
✅Watumishi wa Mahakama
✅Maafisa Utumishi
Hao ni baadhi ya watumishi, na watu kama nyie ndio mnawapa vishawishi
 
Ongezea hii: Asilimia 99 ya watumishi wa umma kama TAMISEMI wamepata uhamisho kwa kutoa rushwa. Bila rushwa utazungushwa hadi utakata tamaa. Hii serikali imelea sana rushwa bora enzi ya yule Mzinza
Wewe unataka uhame kwenda wapi? Toa rushwa Kwa nini ukimbie Kituo ulichopangiwa?
 
Back
Top Bottom