Serikali ya Samia inanuka rushwa: Orodha ya Idara zinazoona zina haki ya kupewa rushwa

Enzi hizo: "Mzee, shikamoo. Tukusaidie nini?". Leo "Mzee una shida gani? Kama ni masuala ya pesheni yako subiri rudi baada ya miezi mitatu".
 
Kama mkuu wa nchi anadiriki kusema hadharani kuwa kila mmoja ale usawa wa kamba yake, huyo mkuu wa taasisi anapata wapi nguvu ya kukemea Rushwa?
 
Kama mkuu wa nchi anadiriki kusema hadharani kuwa kila mmoja ale usawa wa kamba yake, huyo mkuu wa taasisi anapata wapi nguvu ya kukemea Rushwa?
Mkuu, uadilifu hauhitaji kuiga nani anafanya nini! Hii ndio shida waliyonayo walio wengi. Kisa fulani ni mwizi na mla rushwa basi inampa uhalali kila mtu kufanya hivyo.

Tunahitaji watu wajue ipo siku kila mtu atasimama kwa nafasi yake kujitetea.
 
Haya madudu CHAWA mwandamizi, CHAWA lialia Lucas Mwashambwa anayaona kama ni kivutio kwa wageni
 
Mimi nimeona awamu kuanzia ya mwinyi Hadi ya sasa.kati ya awamu iliyokithiri Kwa rushwa kuliko awamu zote ni awamu ya sita
 
ChoiceVariable

Machawa nyooni mfanye utetezi kwa madisadi wawepe chenji za wizi wa kodi za walala hoi. Badala ya kutoa hoja watakuja na maswali ya kipuuzi

Kwani rushwa imeenza na Mama Samia?
Tanzania ni nchi ya chini kwa rushwa EA!

😂😂🤦🏾‍♂️
 
Ongezea hii: Asilimia 99 ya watumishi wa umma kama TAMISEMI wamepata uhamisho kwa kutoa rushwa. Bila rushwa utazungushwa hadi utakata tamaa. Hii serikali imelea sana rushwa bora enzi ya yule Mzinza
 
Sasa kwani wewe Kumuona mtu pembeni kuna shida gani?

Mwisho huo ni urasimu sio rushwa 👇👇
 
Hao ni baadhi ya watumishi, na watu kama nyie ndio mnawapa vishawishi
 
Ongezea hii: Asilimia 99 ya watumishi wa umma kama TAMISEMI wamepata uhamisho kwa kutoa rushwa. Bila rushwa utazungushwa hadi utakata tamaa. Hii serikali imelea sana rushwa bora enzi ya yule Mzinza
Wewe unataka uhame kwenda wapi? Toa rushwa Kwa nini ukimbie Kituo ulichopangiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…