PreGE2025 Serikali ya Samia yazidi kuanikwa dunia nzima-Maria Sarungi atoa presentation kali kuieleza dunia yanayojiri Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa lugha nyingine wao ndio wenye ajenda sasa.

Utake usitake, ngoma yao lazima uicheze.

Umemsahau Fidel Castro (Q-ba)! And many others!
 
Wazungu wale wale waliyotupiga minyororo, wakatulimisha kwetu, wakatutumia kwa manufaa yao, leo bado anasimamisha nyapera atusemezee kwao. Cha kustaajabu watumwa kwa lugha ya wakombozi wanawashabikia. Usaliti.
 
Activist wanalipwa trna pesa nzuri tu,kazi yao ni kuchafua serikali then wo mtonyo unasoma.

hata ikiingia CHADEMA madarakani bado watasema.
 
You're not serious.
 

Ni big brain
 
Forget about the money for a sec.

Ujumbe umeusikiliza?

Huo ujumbe tuseme ndio mbunge wetu fulani angeuwasilisha pale mjengoni Idodomya, dunia nzima ingezizima kwa sababu tu ya maudhui yake ya moto kuliko conc. H2S04!
 
Forget about the money for a sec.

Ujumbe umeusikiliza?

Huo ujumbe tuseme ndio mbunge wetu fulani angeuwasilisha pale mjengoni Idodomya, dunia nzima ingezizima kwa sababu tu ya maudhui yake ya moto kuliko conc. H2S04!
Kwa sababu ya kingereza chake?. Hao wanazeeka na machungu yao hawana jipya lenye kuweza kulifikisha pazuri Tanzania.
 
Wazungu wale wale waliyotupiga minyororo, wakatulimisha kwetu, wakatutumia kwa manufaa yao, leo bado anasimamisha nyapera atusemezee kwao. Cha kustaajabu watumwa kwa lugha ya wakombozi wanawashabikia. Usaliti.
Mkuu, umeshawahi kujiuliza hao watumwa walikuwa wanatekwa na kukusanywa huko maporini na akina nani?

Mbona hilo ni somo la historia darasa la tar-two?

Kama una sababu ya kuwalaumu Wakoloni, basi kazi kwako - lakini kamwe katu usiwabebeshe mzigo usiowahusu!
 
Kwa sababu ya kingereza chake?. Hao wanazeeka na machungu yao hawana jipya lenye kuweza kulifikisha pazuri Tanzania.
Umenisoma kweli, mkuu?

Nashawishika kuamini wasemacho wengi kwamba mara nyingi watu wanajibu hoja kwa hisia, bila kusoma na kuelewa kilichoandikwa.

Nilitaka kusema pengine lugha ya Inglishi imekupiga chenga, lakini nilipoangalia kumbe nimetumia Kiswahili rahisi sana kwenye maelezo yangu.

Mkuu, you're better than this!
 
Huyu mjaluo yuko very smsrt upstairs,
It seems she studied abroad during her childhood,
Samia must listen to the voice of people who are crying daily for justice and good democracy and must stop dictatorship
 
Mwanaharakati Maria jana kaingiza pesa kwa hiyo presentation.

Mwaka wa uchaguzi mkuu huu unakuja na neema kwa wanaharakati wenye kufanya kazi ya kuipaka matope serikali ya CCM.
 
Unahisi hao anaoongea nao watafanya nini?
Mashirika kama Freedom House, Amnesty International, na Human Rights Watch watapata hizi habari lazima.. hii inaweza kupelekea kuchafua taswira ya Tanzania kimataifa, hasa ikiwa hizo tuhuma hazijakanushwa kwa hoja zenye mashiko pia kuathiri uwekezaji wa nje kutoka kwa nchi zinazothamini demokrasia na haki.

Hivi huelewi kwamba kutokuwepo kwa utulivu wa kisiasa katika nchi yoyote ni moja ya sababu kuu zinazowafanya wawekezaji kusita kuwekeza. Hii ni kanuni inayokubalika katika uchumi wa kimataifa... yaani wewe leo ni bilionea unaweza kwenda kufungua kiwanda cha gharama DRC, Somalia ama Sudan?

Hata kama nchi ina rasilimali nyingi, wawekezaji watakwepa au watawekeza kwa masharti magumu, ambayo hayawanufaishi raia wa kawaida.

Na jinsi tulivyo omba omba hii inakwenda kuwa shida, hutoona matokeo haraka lakini utakuja kukiri...
 
Hakuna shule ya Kayumba ya leo inayoweza kutengeneza mtoto aliyeiva kama Shangazi. Naamini kuwa Tangu akiwa binti huko primary school na sekondari alikuwa nondo kulinganisha na wenzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…