Maswali niliyo uliza hayafiki hata 30 wala 20. Jibu utakalo ona jepesi kwako na uwe na majibu sahihi.
Nani amefatikia habari za vitabuni, na hiki lina nafasi gani hapa ? Kuwepo Damamm siyo hoja, hoja ni kujibu maswali na kuandika ukweli kwa hija na elimu.
Hizi zote si hoja, hija ni weee ujibu maswali niliyo kuuliza kwa uadilifu na insafu. Hizi dibaji hazina nafasi hapa, naona unapoteza kuandika vitu visivyo na maana.
Tuwekee jambo moja au hata mawili ambayo alikuwa anakosoa Kashogi kwa mujibu wa Uislamu.
Kisja utuambie ni mafunzo gani ya Uislamu yanaruhusu ukosoaji wa namna ile alio kuwa anaufanya Kashogi ?
Hui siyo Uislamu na hili linasemwa sana na Wanazuoni wana likemea, na ndiyo maana tunakubali ya kuwa madhaifu yapo, ila nyie mnaandika vitu kwa dhulma na uadui, na kuzua yaani hamuongelei mambo kielimu na uadilifu.Ndiyo maana nahitimisha kwa kusema hakuna nchi inayoizidi Saudia kwa kusimamia sheria za Uislamu, hizo nchi nyingine hayo mambo hakuna ? Sasa kwanini mnalingaisha kwa mambo fulani na mengine mnayaacha ?
Swali la msingi ni je amemkumbatia katika mambo ganina je uislamu unasemaje juu ya hilo ?
Pili,ni kosa la kielimu kuilinganisha Saudia na Irani, Irani si Taifa la Kiislamu, na hawana tofauti na Mayahudi na wa Marakani, na katika nchi ambayo Makafiri huitumia kuwadhuru Waislamu basi ni Irani, hizi nyingine ni filamu tu mnachezewa.
Haoa unathibitisha ya kuwa ulichokiandika hao awali huna elimu nacho. Sasa huu unao ufanya wewe ndiyo uhuni.
Ni usaliti na utuambie Kashogi alikuwa amekumbatiwa na kina nani na je usulubu ule ndiyo mafunzo ya Uislamu ? Huelewi na wapi na kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
Au unataka kutuambia Uislamu haukufundisha namna ya kuayaendea haya mambo ? Mko wapi na elimu vijana ?
Soma katika historia ya Uislamu utaona.
Sada hapa unauzungumzia undugu kati ya Muislamu na Shia au ? Hakuna undugu kati ya Uislamu na Ukafiri bali kuna muamala tu wa kuishi kwa mipaka, na udui wa Shia kwa Waislamu ni mkubwa sana, soma Historia ya Mashia na uone waichokifanya kwa Waislamu katika Dola ya Swafawiya. Kila kitu kimeandikwa.
Saudia anafanya miamala na Wamarekani katika mambo ya kimiamala na kibiashara.
Huu ujinga mwingine. Jihadi ni ibada ikikidhi masharti na nguzo Jihadi inapiganwa. Miongoni mwa Jihadi zilizo wahi kupigwana ni vita vya Afghanistani ila wapiganaji ndiyo walikuwa na shida, kadhalika vita vya wamogoli karne ya 13 lakini tatizo waislamu walikuwa wanaingia na mahirizi na ucjafu mwingine, wakawa wanashindwa.
Hili huna ushahidi. Unaleta habari za vijiweni.
Swali wanao uliwa ni Waislamu au makafiri ? Hili swali mboma hulijibu ? Au wewe ni Shia nini ? Maana naona huna hoja unalalama tu. Mahafuko kaskazini mwa Yemeni yameanza miaka ya 2011,2012,2014, 2015 Saudia wakaanza kuingilia kati, mbona kipindi hicho hote mlikaa kimya ? Waislamu wanauliwa ila alipoingia Saudia kuwatetea Waislamu mnapayuka payuka...?
Hili lina uhusiano gani na tunachokijadili hapa ?
Tuwekee ushahidi wa haya. Vijana msiwe mnatuletea habari za vijiweni, tena mkiwa hamna ushahidi ndiyo mkae nazo wenyewe huko.
Kazi yangu nimemaliza.
Mkuu uandishi wako unahitaji weledi wa hali ya juu kukuelewa.
Ungeuliza kwa pamoja nikakujibu kwa pamoja..
OK let's try.
-- uislam ni dini ambayo ina sheria zake.
Na umesema kwamba saudia ndy inchi pekee ambayo imesimamia sheria za kiislam.
Jibu hoja zangu.
-- mwanamke haruhusiwi kuonyesha maungo yake hadharani.
*Je TV za saudia zinavyoonyesha wanawake kukata mauno tena vitovu nje ndy uislam ?
-- dini inaeleza wazi kwamba adui wa muislam si yule asiye muislam.
-- adui ya muislam ni yule anayepinga uislam.
Je kitendo cha kuwakakumbatia wamarekani na kusaliti waislam wenzio ndy uislam.
*Unazungumzia mambo ya mashia hivi mtume Muhamad(S.A.W)alituachia dhehebu gani?
Haya mambo ya madhehebu yamekuja baada ya mtume.
wote ni waislam wenzetu wanaabudu Mungu Mmoja na kumwamini Mtume Muhammad (S.A.W) ni Mjumbe wa Mungu.
utasemaje ni adui zaidi wa yule anayepinga uislam(marekani).
*Kuhusu ufalme wa saudia.,,
Marekani walimtia sumu mpwa wa aliyekuwa king wa wakati hyo(1975,,)
Na kuelekea kufanya mauaji ya huyo mfalme.
sababu ya msimamo wake ,
Marekani wakawaweka utawala wao sababu ya kuharibu uislam.
Kuhusu kashogi.
Uislam unahubiri
-- subira.
-- kusamehe.
Je mtoto wa mfalme wa saudia alipotuma genge lake la wahuni huko Turky ,,
--kumkatakata vipande vipande yule kashogi ,,
huo ndy uislam anaosimamia saudia?
--Kuruhusu wamarekani wafanye watakavyo ndani ya saudia ,,
ndy kusimamia uislam?
Saudi wanasheria za kiislam lakini matendo yao hayapo ktk uislam.
Saudia royal family ni untouchable,,
Ni genge fulani la wahuni,
Wapo juu ya sheria za kiislam,,
Uislam haukufundishi kuua watu bila hatia..uislam ni amani.
Njaa na dhiki ya Yemen miaka yote inasabishwa na ubabe uchwara wa saudia kwa ndugu zetu..
Usidanganywe na vyombo vya habari vya magharibi huwezi kujuwa ukwl.