#COVID19 Serikali ya Saudia yasema "Mwaka huu ni wale Waislamu waliopata chanjo ya COVID-19 pekee ndiyo wataruhusiwa kuhiji Makka/Madina"

Sina shaka na USOMI za Zitto, Zitto ni msomi na ni mchambuzi mzuri but kwenye hili la chanjo kwa mtazamo wangu, kachemka; hiyo chanjo hadi sasa hivi watengenezaji wenyewe hawataki kuchanjwa. Siamini huyo mungu wao kama anaweza kuadhibu watu wake tu kwasababu hawaja chanjwa and hence wamepoteza sifa ya kwenda kuhiji, SUNNA zipo nyingi, sio kuhiji peke yake.
 
Wao wana msimamo mkali kuliko nyie, Nyie mnapenda urahisi.
1. Wao hawaruhusu mtu kuamka ukiwa na janaba ule muda wa alfajiri.
2. Hawaruhusu kupiga mswaki wala kuoga kipindi una swaum.
3. Wao huchelewa kufungua swaum
4. Kadhalika kwao haifai kufunga siku ya Ashura, wakati kwetu sisi funga hii ni sunnah
 
Muislam ni nani ?
 
Saudia si nchi takatifu! Saudia ni nchi iliyohodhi maeneo matakatifu ya kiislam nayo ni Makka na Madina.

Hata masihi dajal atakapokuja atazuru maeneo yote ya Saudia isipokuwa Makka na Madina.

Hata thamani ya swala kuwa juu ni kwa maeneo 3 tu. Nayo ni Makka, Madina na Masjidil Aqswa. Sehemu nyingine za Saudia hazina utukufu wowote!

Huo ufalme uliteka hiyo miji miwili na kuisimika rasmi kuwa sehemu y nchi yao kwa msaada Uingereza na kulindwa na Waingereza. Uingereza imeshuka nguvu sasa ni Marekani.

Ufalme wa Saudia hauna dini ni makanjanja tu waliyojificha kwenye kivuli cha dini.
 
Ni aheri hao Wasaudia wanawafanyia ubaya wanqnchi wa Yemeni, watu wa Taifa jingine, kuliko wa hapa kwetu jinsi wanavyowatendea watanzania wenzao - kuteka, kuua, kutesa, kubbikia kesi, kupora kura, na kila aina ya uchafu.
 
Ni hiyo ya corona tu, au uliamua hivyo kwa chanjo zote?

Ili kuendana na msimamo wako, nakushauri hata ukiugua usiende hospitali yoyote maana kufa kupo tu.
 
Dini nyingine hizi nazo, kwamba Saudia au Israel ndio mahali patakatifu pekee? Tatizo limeanzia hapo... Simba wakiunguruma mcheza nani? Tumewaachia milki ya mbuga yote hawa carnivals.
 
Ni aheri hao Wasaudia wanawafanyia ubaya wanqnchi wa Yemeni, watu wa Taifa jingine, kuliko wa hapa kwetu jinsi wanavyowatendea watanzania wenzao - kuteka, kuua, kutesa, kubbikia kesi, kupora kura, na kila aina ya uchafu.
Yule muandishi Kashogi alikuwa raia wa wapi vile kama sikosei na kujikuta mikononi mwa mwana mfalme? Hakuna bora zaidi ya mwenzake hii dunia, kote sawa tu.
 
Wao wana msimamo mkali kuliko nyie, Nyie mnapenda urahisi.
Mtume wa Allah alipata kusema "Hii dini ni nyeoesi, na yeyote atakaye itilia uzito, itamshinda". (Au kama alivyosema Mtume). Ndiyo maana Mashia imewashinda na wakawa Makafiri.
 
Punguza povu wewe kada wa kijani, tulia uchanjwe kenge ww
 
Mabeberu yanaenda kubinya kende za meko walahi, hataweza ku hold on kwa muda wote huo, wameanza taratibu, force akaunti hazitafanya kazi tena
 
Uyo Mungu wao wa uko saudia hawezi kuwalinda watu wake wanaoenda kumwabudu uko ktk makazi yake?,au Mudi hana mpango wa kuwatetea watu wake
Thubuuuuutu waende wakasongamane wampige mawe shetwani wao bila chanjo wakione cha mtema kuni
 
Aliyewalazimisha nani mjomba? mbona Bwana Mkubwa kagoma na hawajaileta [emoji849].Pambana na njaa zako acha kila kitu kumsingizia Beberu, Nyau we
Mkuu mbona umeandika kama umepakatwa?

Hivi dunia yote ikisema bila kuchanja chanjo ya Covid hupandi ndege,,
.
Huoni kama ndy kulazimishwa kwenyewe huko?

Basi kama unaumia vaa chupi yako nenda zako.
.
Madada poa wapo wengi hauko peke yako ..
 
Ni aheri hao Wasaudia wanawafanyia ubaya wanqnchi wa Yemeni, watu wa Taifa jingine, kuliko wa hapa kwetu jinsi wanavyowatendea watanzania wenzao - kuteka, kuua, kutesa, kubbikia kesi, kupora kura, na kila aina ya uchafu.
Tupo kwenye iman MKUU,,hatupo ktk siasa..
 
Hakika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…