#COVID19 Serikali ya Saudia yasema "Mwaka huu ni wale Waislamu waliopata chanjo ya COVID-19 pekee ndiyo wataruhusiwa kuhiji Makka/Madina"

Mkuu serikali ya saudia ni genge la wahuni,,waliojivika joho la uislam..

Hii serikali ya kifalme hakuna inchi yeyote ya kiislam inayokubaliana nayo zaidi ya mataifa ya magharibi..

Hill genge la wahuni la saudia limekuwa likifanya mambo kadhaa ya kinyume na haki za binadamu kwa Yemeni kwa miaka kadhaa.

--Mfano kuendelea kushambulia Yemen,, haswa kwenye makazi ya raia na kuua watu wasio na hatia.

Bila kujali Wanawake na watoto.

Tena ikipata baraka zote za marekani,, kwa kuwauzia silaha za technology ya hali ya juu,,saudia iendelee kuipiga Yemen na kuikandamiza.

-- kuweka kambi za kijeshi kwnye bandari kadhaa kwenye mpaka kuzuia watu wa haki za binadamu kupeleka misaada Yemen..

Mkuu ukiona kwa macho wanayofanya saudia kwa Yemen,,yanasikitisha sana.

Tena waislam wenzao,,

Dini inasema ndugu wa muislam ni muislam mwenzie,,

Huo udugu upo wapi hapo?

Pasi na shaka huu utawala wa saudia ni genge la wahuni lililojivika joho la waislam.

Ukijumlisha na mauaji ya KASHOGI..

Hawafai hata kidogo..

Wanachokifanya wao ni kufata amri za mabwana zao marekani.

Na kuweka sheria za Mungu pembeni.

Wametoa mambo mengi ya kiislam na kuweka utamaduni wa kimagharibi..

Saudia ile inayopambwa kwenye vitabu vitakatifu. ,,sio hii iliyopo Leo..

Chochote kinachoendelea saudia kimepata baraka zote za mataifa ya magharibi..
Msiwapingie watu namna ya kuishi, ile ni nchi huru hivyo na inajua ni kipi ni kizuri au kibaya kwa wananchi wake. Dini nyingi zina mambo ambayo yamepitwa na wakati au irrelevant. Hivyo pengine wameamua kuja njia ya kisasa zaidi ya kuabudu. Zaidi ni kuwa huo uislam umeanzia kwao na hivyo pengine wanaufahamu zaidi.
 
Mkuu suala la dini halina mambo ya kisasa wala zamani..

Dini ni sheria ambayo ilishapitishwa na Mungu.
 
Ipo shida sana. Kuna member hapa anasema kuwa washia sio waislam. Sasa sijui masuni ndio pekee waislam?

Kinachosikitisha zaidi, ni ukinzani mkubwa wa jinsi gani sisi waafrika tunawatazama hawa waarabu na wao wanavyotutazama. Wakati sisi tunawatukuza na kuwatazama kama waislam haswa, wao wanatuona kama nyani tu, ambao kwao ni watumwa tu. Ndio maana, dada zetu wanatumikishwa na kudhalilishwa huko saudia hadi hapa kwetu.

Nimeuishi uislam, kuna ubaguzi mkubwa sana. Zanzibar kule wanajiona ni waislam hasa kuliko wabara.

kimsingi kwenye macho ya hao wasaudi, wairan we are nothing but shitholes.
Dhambi ya ubaguzi katika imani sijui imekaaje?
Mabohora, Sunni, Shia wote muda wa ibada yanatendeka yaleyale. Quran ni ileile.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mkuu serikali ya saudia ni genge la wahuni,,waliojivika joho la uislam..

Hii serikali ya kifalme hakuna inchi yeyote ya kiislam inayokubaliana nayo zaidi ya mataifa ya magharibi..

Hill genge la wahuni la saudia limekuwa likifanya mambo kadhaa ya kinyume na haki za binadamu kwa Yemeni kwa miaka kadhaa.

--Mfano kuendelea kushambulia Yemen,, haswa kwenye makazi ya raia na kuua watu wasio na hatia.

Bila kujali Wanawake na watoto.

Tena ikipata baraka zote za marekani,, kwa kuwauzia silaha za technology ya hali ya juu,,saudia iendelee kuipiga Yemen na kuikandamiza.

-- kuweka kambi za kijeshi kwnye bandari kadhaa kwenye mpaka kuzuia watu wa haki za binadamu kupeleka misaada Yemen..

Mkuu ukiona kwa macho wanayofanya saudia kwa Yemen,,yanasikitisha sana.

Tena waislam wenzao,,

Dini inasema ndugu wa muislam ni muislam mwenzie,,

Huo udugu upo wapi hapo?

Pasi na shaka huu utawala wa saudia ni genge la wahuni lililojivika joho la waislam.

Ukijumlisha na mauaji ya KASHOGI..

Hawafai hata kidogo..

Wanachokifanya wao ni kufata amri za mabwana zao marekani.

Na kuweka sheria za Mungu pembeni.

Wametoa mambo mengi ya kiislam na kuweka utamaduni wa kimagharibi..

Saudia ile inayopambwa kwenye vitabu vitakatifu. ,,sio hii iliyopo Leo..

Chochote kinachoendelea saudia kimepata baraka zote za mataifa ya magharibi..

Serikali ya Saudia kuwa na wahuni haibadilishi uhalali wa Makka kama sehemu ya Kuhiji. Swala ni kwamba mnaweza kwenda bila kupata chanjo? Kama hamuwezi kwenda mnafanya nini sasa?
 
Kitendo cha kuhalalisha kwenda hijja kwa chanjo ,,

Ni kuthibitisha uhuni wao..
 
Ipo shida sana. Kuna member hapa anasema kuwa washia sio waislam. Sasa sijui masuni ndio pekee waislam?

Kinachosikitisha zaidi, ni ukinzani mkubwa wa jinsi gani sisi waafrika tunawatazama hawa waarabu na wao wanavyotutazama. Wakati sisi tunawatukuza na kuwatazama kama waislam haswa, wao wanatuona kama nyani tu, ambao kwao ni watumwa tu. Ndio maana, dada zetu wanatumikishwa na kudhalilishwa huko saudia hadi hapa kwetu.

Nimeuishi uislam, kuna ubaguzi mkubwa sana. Zanzibar kule wanajiona ni waislam hasa kuliko wabara.

kimsingi kwenye macho ya hao wasaudi, wairan we are nothing but shitholes.
Mkuu njoo kwenye harakati zetu wa ukombozi wa fikra. Sisi habari za dini tulichaachana nazo. Maana dini zililetwa ili kutugawa na kututawala. Sisi ni waumini wa uafrika wetu, na upendo kwa ndugu zetu wote, sio kisa wa dini moja ndio umpende, halfu wa dini nyingine umtenge.

Sisi ni pan afrika. Tunafurahia maisha, hatumaind tena majina ya waarabu wala wazungu. Tumeamua kuish kwa upendo na mshikamano
 
Unaposema Shia sio waislamu una maana gani mkuu??...
Sunni huamini mashia sio waislam bali Ni wachafuzi wa uislam
Hata hapa dar Kuna misikiti ya Shia na Sunni na ilitokea misikiti flan umepata ufadhili ujengwe na waarabu wa Saudi kulizuka mzozo hatari na inashindikana.
Kuuliza nkajibiwa wasaudi wasunni , sisi mashia watajaweka imam wa kissunni
 
Mwanamayu ndiyo ujue kuwa dini ni miradi ya watu kupatia pesa na kuwatawala wengine!
miye nilitegemea vatican,jerusalem na makka zisiguswe na korona kwani huko ndiko chimbuko la ukristo au uislamu!
Hujui dini, yohana alikatwaa kichwa, stephano aliuwawa.
Kuwa na dini haimaanishi kuondolewa majaribu.kama Yesu alijaribiwa sembuse marytina?
 
Iran inafuata sheria za Kiislamu kuliko Saudi Arabia. Inashangaza Waislamu wenzako wanauwawa Yemeni na Suadia katika vita vya kipuuzi halafu wewe unasema ni sawa tu kwa sababu sio wa dhehebu lako la Sunni! Hata kama wasingekuwa hata na chembe ya uislamu kutetea mauaji na mateso yanaofanywa na Saudia nchini Yemen ni kukosa ubinadamu. Kinachofanyika Yemen kinapaswa kuvuka mipaka ya kidini na kupingwa na yoyote.
Kwani hao waasi wa Yemen walikuwa wakiwauwa wakristo?
Waasi mashia walitaka kumpindua rais msunni, Ni waislam vs waislam na kila mmoja akijiona mwislam zaidi
 
Mkuu njoo kwenye harakati zetu wa ukombozi wa fikra. Sisi habari za dini tulichaachana nazo. Maana dini zililetwa ili kutugawa na kututawala. Sisi ni waumini wa uafrika wetu, na upendo kwa ndugu zetu wote, sio kisa wa dini moja ndio umpende, halfu wa dini nyingine umtenge.

Sisi ni pan afrika. Tunafurahia maisha, hatumaind tena majina ya waarabu wala wazungu. Tumeamua kuish kwa upendo na mshikamano
Hivi afrika tunatawaliwa na dini kweli? hebu elezea huo utawala wa dini tunao tawaliwa nao huku afrika ukoje?
 
Back
Top Bottom