Serikali ya Tanzania ianze kutumia (inunue) minibuses kwa ajili ya kusafirishia viongozi kwenye ziara kama wafanyavyo China

Serikali ya Tanzania ianze kutumia (inunue) minibuses kwa ajili ya kusafirishia viongozi kwenye ziara kama wafanyavyo China

Wa Afrika tuna shida vichwani,wanaona kuwa, na ma v8 Mia kwenye misafara ni kama amri ya Mungu, IPO kwenye misaafu, Wa Afrika weusi wanapenda kuonekana watu wa heshima, na ukubwa, hata kama hwkuna cha maana wanachofanya huko maofisini,
Unakuta MTU, V8 na dereva kapewa, akija ofcn,anakuja katanua makwapa, anafoka kama chatu,utafikri kuna jambo LA maana anaweza kufanya! Madudu tu, hawa ili watie akili, unawanyanganya magari, waende kama wafsnyakazi binafsi!
Hatari
 
Back
Top Bottom