Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
- #21
Sio rahisiIli wakifanyiwa ambush wafe woote si ndio [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rahisiIli wakifanyiwa ambush wafe woote si ndio [emoji1787][emoji1787]
ChangamotoWaachane Na V8 Hawa Wagumu Wa Tanzania Hawawezi Kamwe Kupanda Coaster Ingawa Uingereza Walipandishwa Msibani Wote Hasa Hawa Wa Africa
HatariWa Afrika tuna shida vichwani,wanaona kuwa, na ma v8 Mia kwenye misafara ni kama amri ya Mungu, IPO kwenye misaafu, Wa Afrika weusi wanapenda kuonekana watu wa heshima, na ukubwa, hata kama hwkuna cha maana wanachofanya huko maofisini,
Unakuta MTU, V8 na dereva kapewa, akija ofcn,anakuja katanua makwapa, anafoka kama chatu,utafikri kuna jambo LA maana anaweza kufanya! Madudu tu, hawa ili watie akili, unawanyanganya magari, waende kama wafsnyakazi binafsi!
Mdogo mdogo tutaelewanaSidhani kama watakuelewa
Lori gani? Si magari yote husimamishwa msafara wa rais unapopita?Wakipelekewa moto na roli itakuwaje?
Hata kuwapandisha ndege Moja sishauri.
Hata kuwa jukwaa Moja rais na makamu sishauri.
Mbona hao wachina hawafanyiwi hiyo ambush?!Ili wakifanyiwa ambush wafe woote si ndio [emoji1787][emoji1787]