Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

Thread nzima kazi yako kukazwa tu!!
utakazwa wewe mkuu kwa sababu hupendi kufikiria.

Kama unataka kwenda Marekani ongea na Kiranga akupe invitation then ufanye mpango wa visa uende Marekani kuliko kuja kupiga masterbation hadharani. Tatizo akili hiyo huna plus huna connection wala network ya maana...

Unawaza kama choko anae firw@ na mb@@ kubwa.
 
swili..
Kwanini mnang'ang'ania marekani na sio taifa jingine kama Germany,Japan, Canada au south Korea?
Marekani ni first super power Duniani.

Hizo nchi ulizotaja hapo ni weak nations kwa USA.

Germany,Japan, Canada na South Korea kwa Marekani ni watoto wadogo sana.
 
Marekani ni first super power Duniani.

Hizo nchi ulizotaja hapo ni weak nations kwa USA.

Germany,Japan, Canada na South Korea kwa Marekani ni watoto wadogo sana.
Ukiungana na marekani kwa kigezo cha superpower, hii inamaana kesho mchina akiwa superpower,itabidi uvunje muungano na marekani uungane na China.

Huo ni ujuha

Muungano ni kama ndoa. Unaungana na Yule ambaye utaona utaendana nae sawa. Kwa mantiki hii marekani Haifa. Japan au south Korea ndio zina match
 
Aisee hawa wazungu hii michezo wanayowafanyia mpaka mnakuwa wajinga kiasi hiki ni nini? Chadema haitakaa ije kuongoza nchi hii kwa tabia zenu mbaya kiasi hicho.
Tusilaumu sana mkuu

Haya yote yameletwa na CCM
Kama wangesimamia rasilimali zetu,tusingefika hapa tulipo
Kama wangesimamia elimu tusingefika hapa
Kama wangesimamia kilimo tusingekuwa hapa
Kama kwa miaka hii zaidi ya 60 wangetua tatizo la umeme..
Kama wangeondoa umaskini....
Kama wasingewekana maofisini kwa kujuana. ..
Kama wangedhibiti makazi Holela
Kama wangedhibiti Rushwa..
Alma kusingekua na mikataba mibovu....
 
Ukiungana na marekani kwa kigezo cha superpower, hii inamaana kesho mchina akiwa superpower,itabidi uvunje muungano na marekani uungane na China.

Huo ni ujuha

Muungano ni kama ndoa. Unaungana na Yule ambaye utaona utaendana nae sawa. Kwa mantiki hii marekani Haifa. Japan au south Korea ndio zina match
Kwanza mchina na yeye kwa Marekani ni mtoto tu.

Nakwambia hivi, First World Super Power ni United States of America [emoji631] na itabaki hivyo milele

Marekani kuna wachina wengi wana mitaa yao kabisa.

Na mchina anakubali kwamba kwa mmarekani hafui dafu.

Marekani ndio Dunia ilipo.
 
hapana ni bora tujiunge na UAE, US wao wenyewe haweshi kukabana tu uko, hivi sasa kazi kuvamia super market tu.
 
Ona mpaka lugha unatamani uzungu, forum ya kiswahili ili uonekane msomi umecomment kwa lugha ya mabeberu.

Siri nguruwe lakini mchuzi wake nakunywa ndio nyinyi.
Nimeongea fact, na wewe unajua hilo.
Sasa tetea kwa nini unataka ununuliwe, utumikishwe na udharauliwe.
Halafu ninyi watoto wa juzi mkumbuke, Nyerere aliwashinda kufikiri na kuongea kiingereza fasaha wakoloni wasio na akili, tena huko uliko ubeberuni.
 
utakazwa wewe mkuu kwa sababu hupendi kufikiria.

Kama unataka kwenda Marekani ongea na Kiranga akupe invitation then ufanye mpango wa visa uende Marekani kuliko kuja kupiga masterbation hadharani. Tatizo akili hiyo huna plus huna connection wala network ya maana...

Unawaza kama choko anae firw@ na mb@@ kubwa.
Mkundou unakuwasha sasa umeanza kuita mabasha zako, na sina hakika huyo basha wako unamtag kama ni mzibuwa mitaro michafu kama wako.

Acha kujipendekeza kwa wanaume jinga kabisa.
 
Tanzania yenyewe ni muungano wa Nchi mbili

United republic of Tanzania
United States of America
United Arab Emirates
United kingdom

Na kulikuwa na USSR
Ukiuliza majina ya hizo nchi, sasa zinatamburikaje, Utaambiwa Zanzibar na Tanzania bara. Tanganyika imetiwa kapuni.
 
uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa
Wamarekani hawawezi kukubali. Wamarekani walikataa kujiunga na nchi kama Mexico pamoja na kununua overseas territory ili kuepusha Marekani kuadmit 'inferior races' katika taifa lao.
 
Jiunge pekeako kushndwa kwa kiongozi mmoja kutmia rasilimali zilizopo haimanishi kwamba watanzania wote hawana ufahamu.Hyo thread ni ya mtu aliyekata tamaa,tayari ww ushajikatia tamaana hata hvyo mbona viongoz wetu wanatmia vyema rasilima unataka wafanyaje?Hujasoma ecomic phases?Dont give up!Dont compare yourself wth other.You can show wonders even yourself.Marekani hatuwezi tkaungana nae na kuwa jimbo lake asahau kabisa!
Muelekeze mama basi kwenye DP World bloangu
 
Back
Top Bottom