Serikali ya Tanzania imeshindwa kutafsiri dhana ya Burkina Faso?

Madini adhimu umeongea fikiria Mwigulu anakuja na bajeti 4% inaenda kwenye anasa kama vitafunwa, sherehe, safari nk vitu ambavyo havina tija kwenye ustawi wa taifa letu wala havina msaada wowote afya imekuwa kizungumkuti, ajira nazo. Bado ufahari wa magari zaidi ya 600B zinaenda kwenye manunuzi ya magari ya kifahari
 
Ujinga ndiyo shida yetu.
 
Na nwingine kichwa chake ni kitupu anakwambia sisi ni maskini sababu tuna laana na sio uongozi m'bovu
 
Polisi wa tanzania ni kama tu misukule iliyopewa silaha, haijui ku reason, haina akili kabisa.
 
Kama ni lake binafsi sioni tatizo. Tatizo ikiwa ananunuliwa au kukopeshwa na serikali.
 
 
I am muslim. Naafikiana na wewe.
 
Hata ukristo haukatazi mtu kuwa bilionea ...tumia akili kujua nilicho maanisha tatizo lako wewe akili zako ni finyu
Sasa akili zangu wewe zinakuhusu nini?

Au mada hapa ni akili zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…